Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Wakuu wote wa Idara ni Makaimu

Kumkaimisha mtu for more than six months ni kinyume cha sheria kwa nini kame ameaminika asiwe approoved mnawatia majaribuni watoto wa watu kuanza kula zaid ya kamba zao kwani hawana uhakika na nafasi walizo nazo
 
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
Sio huko tuu hata Geita..

Huu ni uzembe wa Serikali Kwa sababu hawana data base nzuri ya taarifa za utumishi Ili kuweza kujua nani yuko wapi na ana sifa Ili kushika hizo nafasi..
 
Kwani wakati waziri anapita kugawa mitungi ya gesi hakuliona hilo??

Hayo ndio madhara ya kuwa na Rais anayepiga tripu za Nje ya nchi kuliko za ndani.

Unaweza kuta hafahamu hata majina ya wilaya nyingine wala hajawahi fika kabisa ila ndio kiongozi wetu.

Mungu tusaidie tu.
 
🚮🚮
 
Badala ya kutetea tu kila kitu hapa JF ; mngetumia muda kumshauri kiongozi wetu atembelee wananchi wake huko atakutana na mambo mengi ikiwamo na mambo kama haya kuepusha maswali yanayokosa majibu kama wewe ulivyofanya hapa.
🚮🚮🚮🚮
 
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.

Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
Nafasi nyingi za Ukuu wa Idara Kutokana na Muundo Mpya wa Halmashauri unahitaji Masters Degree.

Kwahiyo, Kama Hakuna mwenye qualifications wanaokuwepo lazima wakaimu.
 
Hivi serikali inawekeza kusomesha hao wenye "Masters Degree"?
Kwamba kusoma mpaka serikali iwekeze kwako kwenda kusoma?

Kuna uhitaji gani huo wa muhimu sana mpaka serikali iwekeze kwako kwenda kusoma.

Labda Idara ya Afya tu.
 
Unajua gharama za kujisomesha Shahada ya uzamili zilivyo kubwa? Pia uliza waliomo serikalini inavyokuwa ngumu kupata ruhusa kwenda kusoma hiyo shahada.
 
Endelea kubishana huko kwenye majukwaa ya siasa. Stupid

Tatizo kubwa mkishakuwa misukule wa wanasiasa, kila mnachokiona mnalazimisha kionekani Ni tatizo, kwasababu matatizo ndio mtaji wa Mwanasiasa.
 
Kama siyo tatizo Halmashauri nyingi zingekuwa na lundo la watu wanaokaimu?? Unajua kwamba waraka wa hizo "Masters" ulikuja watu wakiwa hawapo?

Yaani huwezi kujenga hoja bila ya kutukana wengine??
 
Back
Top Bottom