MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Umekaimishwa Idara, na unajua kabisa Qualifications za ngazi uliyopo Ni Masters Degree.Kama siyo tatizo Halmashauri nyingi zingekuwa na lundo la watu wanaokaimu?? Unajua kwamba waraka wa hizo "Masters" ulikuja watu wakiwa hawapo?
Yaani huwezi kujenga hoja bila ya kutukana wengine??
Mshahara wa Mkuu wa Idara Ni almost 3M.
Unashindwa kweli kupata 5M hata ya mkopo ukasome Masters ili upewe Idara kamili, eti unasema unataka serikali tena ikupeleke shule.
Hata Masters Degree, scholarships zimejaa rundo wewe unaleta visingizio uchwara kabisa.
Subiria, wajanja wenye Masters wajue Manyara Hakuna mtu mwenye sifa ya Ukuu wa Idara, WAHAMIE huko wapewe hizo Idara, halacu ndio upate vizuri Agenda za siasa uchwara.