peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sio huko tuu hata Geita..Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
Kwani wakati waziri anapita kugawa mitungi ya gesi hakuliona hilo??Sio huko tuu hata Geita..
Huu ni uzembe wa Serikali Kwa sababu hawana data base nzuri ya taarifa za utumishi Ili kuweza kujua nani yuko wapi na ana sifa Ili kushika hizo nafasi..
🚮🚮Kwani wakati waziri anapita kugawa mitungi ya gesi hakuliona hilo??
Hayo ndio madhara ya kuwa na Rais anayepiga tripu za Nje ya nchi kuliko za ndani.
Unaweza kuta hafahamu hata majina ya wilaya nyingine wala hajawahi fika kabisa ila ndio kiongozi wetu.
Mungu tusaidie tu.
Badala ya kutetea tu kila kitu hapa JF ; mngetumia muda kumshauri kiongozi wetu atembelee wananchi wake huko atakutana na mambo mengi ikiwamo na mambo kama haya kuepusha maswali yanayokosa majibu kama wewe ulivyofanya hapa.🚮🚮
🚮🚮🚮🚮Badala ya kutetea tu kila kitu hapa JF ; mngetumia muda kumshauri kiongozi wetu atembelee wananchi wake huko atakutana na mambo mengi ikiwamo na mambo kama haya kuepusha maswali yanayokosa majibu kama wewe ulivyofanya hapa.
Nafasi nyingi za Ukuu wa Idara Kutokana na Muundo Mpya wa Halmashauri unahitaji Masters Degree.Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
Hivi serikali inawekeza kusomesha hao wenye "Masters Degree"?Nafasi nyingi za Ukuu wa Idara Kutokana na Muundo Mpya wa Halmashauri unahitaji Masters Degree.
Kwahiyo, Kama Hakuna mwenye qualifications wanaokuwepo lazima wakaimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mganga mkuu wa Halmashauri yangu ni kaimu kwa zaidi ya miaka 2
Kwamba kusoma mpaka serikali iwekeze kwako kwenda kusoma?Hivi serikali inawekeza kusomesha hao wenye "Masters Degree"?
Unajua gharama za kujisomesha Shahada ya uzamili zilivyo kubwa? Pia uliza waliomo serikalini inavyokuwa ngumu kupata ruhusa kwenda kusoma hiyo shahada.Kwamba kusoma mpaka serikali iwekeze kwako kwenda kusoma?
Kuna uhitaji gani huo wa muhimu sana mpaka serikali iwekeze kwako kwenda kusoma.
Labda Idara ya Afya tu.
Endelea kubishana huko kwenye majukwaa ya siasa. StupidUnajua gharama za kujisomesha Shahada ya uzamili zilivyo kubwa? Pia uliza waliomo serikalini inavyokuwa ngumu kupata ruhusa kwenda kusoma hiyo shahada.
Kama siyo tatizo Halmashauri nyingi zingekuwa na lundo la watu wanaokaimu?? Unajua kwamba waraka wa hizo "Masters" ulikuja watu wakiwa hawapo?Endelea kubishana huko kwenye majukwaa ya siasa. Stupid
Tatizo kubwa mkishakuwa misukule wa wanasiasa, kila mnachokiona mnalazimisha kionekani Ni tatizo, kwasababu matatizo ndio mtaji wa Mwanasiasa.