KERO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inachelewesha sana kutoa mikopo ya 10% kwa vijana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo.

Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao kutupa moyo lakini pesa hatupatiwi.

Nimeona halimshauri nyingine wamepata lakini sio Tunduru naomba mamlaka walione hili vijana tumetumia mitaji yetu kufatilia mikopo hii ambayo hatujui lini tunapata.

Pia soma ~ Sigrada Mligo: Mikopo ya asilimia 10 fedha hazitolewi kwa wakati na kiasi kinachotolewa ni kidogo sana
 
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo.

Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao kutupa moyo lakini pesa hatupatiwi.

Nimeona halimshauri nyingine wamepata lakini sio Tunduru naomba mamlaka walione hili vijana tumetumia mitaji yetu kufatilia mikopo hii ambayo hatujui lini tunapata.
Gentleman,
msikate tamaa,
nendeni tena na tena halmashauri bila kuchoka, ili hatimae mpatiwe hicho mnachostahili kwasababu ni haki yenu 🐒
 
Wamelipa siku ya tarehe mbili Ahsanteni Sana Jf
 
Tupeni madesa nasi tupate mwanga wa kukopa hizo 10%
 
Back
Top Bottom