concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Mtindo huu ulikua wa vodacom.Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Tatizo hili sio kwa Halotel pekeeKuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Kuna siku nami ilitokea hadi nikapiga simu huduma kwa wateja kukalamika.Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Labda tuseme inategemea na sehemu ulipo mkuu.Halotel mtandao Internet majanga qubabake
Walikueleza ukweli, isipokuwa namna ya kutanzua mpaka uwasikilize kwa makini.Tuna TCRA ya kipumbavu! Haijui kufuatilia raia tunavyoibiwa! Juzi kati nimejikuta nimetumia elfu 10 ndani ya saa 1 kwenye mtandao wa Airtel. Kuwapiga simu wananiletea rongorongo eti kuna apps zinatumia bando kwenye background! Wizi mtu!
Huku nilipo Halotel mtandao majanga Internet haisukumi kabisa nipo Dar mitandao yote fresh ila halotel kipengele wasenge hawa kumamakezaoLabda tuseme inategemea na sehemu ulipo mkuu.
Mimi ndiyo nawategemea, hasa ukiwa na laini ya chuo, kuna kamserereko flani hasa kuanzia ukinunua kifurushi cha siku cha 1000 unaongewa mara mbili ya gharama wao wanaita 'zawadi'.
Tatizo lao ni kuungishwa vimichezo vya kubahatisha bila hiari, unapoweka vch na kuiacha utashitukia salio linapungua, lakini kuna mbinu ya kuzuia.
Tsh 10,000/= unapata 13GB !!!!😳🤔Juzi nilijiunga Gb 13 kwa 10,000 nashangaa kucheki movie 2 na mpira mechi moja eti zimeisha
Mkuu niliwasikiilza vizuri sana, hata pale nilipofanikiwa ku-disable hizo apps kwenye hiyo background bado data zilinywewa kama Waha na Kayoga! Nimeamua kuachana nao sasa hivi nina Halotel! Angalau hawa Halotel wana line special kwa ajili ya internet tu ziko vizuri! Elfu 15 unapata 18GB kwa mwezi!Walikueleza ukweli, isipokuwa namna ya kutanzua mpaka uwasikilize kwa makini.
Simu hizi za kisasa huwa sielewi hizo back ground zilisetiwa kusaidia nini, maana ni mchwa wanaotafuna data bila kushiba!
Ukitoka kifungoni unielekeze uliungaje GB 13.Juzi nilijiunga Gb 13 kwa 10,000 nashangaa kucheki movie 2 na mpira mechi moja eti zimeisha
Tushangae kwa pamoja kk🤣🤣 mm pia naunga watu bando za mwezi kwa bei nafuu ila hii mpya🤣🤣Tsh 10,000/= unapata 13GB !!!!😳🤔
Njoeni niwaunge bando za mwezi kwa bei nafuu zaidi msahau haya yote..sihitaji taarifa yoyote binafsi zaidi ya namba ya SIMU na malipo basi, unapata huduma less than 10mins..Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi