Halotel acheni wizi

Halotel acheni wizi

Hawa takataka kuna siku nilishangaa nmemaliza GB 3 kwa less than masaa 24, nikasema sio kesi nikanunua tena GB 3 halafu baada ya kutumia masaa machache tu nikapata dharula kuingia chaka kule network jau kuja kurudi town kesho kitendo cha kuwasha data tu eti nmemaliza gb zote
 
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Tatizo hili sio kwa Halotel pekee
Unakuta hujapiga simu wala kutuma sms data unatumia WiFi halafu ukicheki salio kwisha kabisa. Hao ni Fokodam hapa nimetoka kucheki salio nimebaki mdomo wazi.
 
Taharifa zimewafikia, kwasasa Hama mtandao kwa muda.
 
Tuna TCRA ya kipumbavu! Haijui kufuatilia raia tunavyoibiwa! Juzi kati nimejikuta nimetumia elfu 10 ndani ya saa 1 kwenye mtandao wa Airtel. Kuwapiga simu wananiletea rongorongo eti kuna apps zinatumia bando kwenye background! Wizi mtu!
 
Walikua na tabia ya kunikata salio, kila nikijaza vocha wanakata 100, 200 nikiwapigia huduma kwa wateja majibu yao hayaeleweki.

Nikaandika email TCRA, nashukuru siku hiyo hiyo jamaa walinilipa salio langu lote, wakanipigia simu huku wakijaribu kunituhumu eti kwanini umewasiliana na TCRA kwanini hukupiga huduma kwa wateja namba 100! Nikawajibi niliwapigia ila majibu yenu yalikua mabovu.
 
Na airtel sms yao ya 75% iko chap sana asee tofaut na tigo , voda
 
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Kuna siku nami ilitokea hadi nikapiga simu huduma kwa wateja kukalamika.

Nilichojibiwa nadhani kilikuwa sahihi, nilielezwa kuwa, kuna baadhi ya application zikiwa wazi hugeuka viwavi wa kubungua data hata usipotumia.

Kama tatizo haujalitafutia ufumbuzi nieleze nikuelekeze namna ya kuzuia.
 
Halotel mtandao Internet majanga qubabake
Labda tuseme inategemea na sehemu ulipo mkuu.

Mimi ndiyo nawategemea, hasa ukiwa na laini ya chuo, kuna kamserereko flani hasa kuanzia ukinunua kifurushi cha siku cha 1000 unaongewa mara mbili ya gharama wao wanaita 'zawadi'.

Tatizo lao ni kuungishwa vimichezo vya kubahatisha bila hiari, unapoweka vch na kuiacha utashitukia salio linapungua, lakini kuna mbinu ya kuzuia.
 
Tuna TCRA ya kipumbavu! Haijui kufuatilia raia tunavyoibiwa! Juzi kati nimejikuta nimetumia elfu 10 ndani ya saa 1 kwenye mtandao wa Airtel. Kuwapiga simu wananiletea rongorongo eti kuna apps zinatumia bando kwenye background! Wizi mtu!
Walikueleza ukweli, isipokuwa namna ya kutanzua mpaka uwasikilize kwa makini.

Simu hizi za kisasa huwa sielewi hizo back ground zilisetiwa kusaidia nini, maana ni mchwa wanaotafuna data bila kushiba!
 
Labda tuseme inategemea na sehemu ulipo mkuu.

Mimi ndiyo nawategemea, hasa ukiwa na laini ya chuo, kuna kamserereko flani hasa kuanzia ukinunua kifurushi cha siku cha 1000 unaongewa mara mbili ya gharama wao wanaita 'zawadi'.

Tatizo lao ni kuungishwa vimichezo vya kubahatisha bila hiari, unapoweka vch na kuiacha utashitukia salio linapungua, lakini kuna mbinu ya kuzuia.
Huku nilipo Halotel mtandao majanga Internet haisukumi kabisa nipo Dar mitandao yote fresh ila halotel kipengele wasenge hawa kumamakezao
 
Walikueleza ukweli, isipokuwa namna ya kutanzua mpaka uwasikilize kwa makini.

Simu hizi za kisasa huwa sielewi hizo back ground zilisetiwa kusaidia nini, maana ni mchwa wanaotafuna data bila kushiba!
Mkuu niliwasikiilza vizuri sana, hata pale nilipofanikiwa ku-disable hizo apps kwenye hiyo background bado data zilinywewa kama Waha na Kayoga! Nimeamua kuachana nao sasa hivi nina Halotel! Angalau hawa Halotel wana line special kwa ajili ya internet tu ziko vizuri! Elfu 15 unapata 18GB kwa mwezi!
 
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Njoeni niwaunge bando za mwezi kwa bei nafuu zaidi msahau haya yote..sihitaji taarifa yoyote binafsi zaidi ya namba ya SIMU na malipo basi, unapata huduma less than 10mins..

GB 4_5,500
GB 5_6,500
GB 6_7,500
GB 7_8,500
GB 8_9,500
GB9_10,500
GB 10_11,500

KARIBUNI WAKUBWA, UAMINIFU WAKUTOSHA🤝🤝
 
Back
Top Bottom