Ukiweka salio 5000 kila siku wanakata fedha kidogokidogoKuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
Karibu nikuunge bando za mwezi mkuu za data, usahau hayo maswahibu.Ukiweka salio 5000 kila siku wanakata fedha kidogokidogo
Issue siyo bundle, tunazungumzia tabia ya udokozi ya HalotelKaribu nikuunge bando za mwezi mkuu za data, usahau hayo maswahibu.
Bro kutunza pesa ni kazi, Halotel nao ni watu🤣Issue siyo bundle, tunazungumzia tabia ya udokozi ya Halotel
Ukiweka salio la 5000 kesho asubuhi usilitumie, ikifika Monday hutakuwa na 5000 ila utakuta deductions
Personally haijawah kunikuta, ila kwa ushauri uwe unatumia halopesa zaidi kuhifadhi pesa kwakuwa kule hakuna muingiliano, pesa ikikaa kama vocha hupungua kwa sababu nyingi. mfn, utatuma message mfumo unakuwa huru kutumia salio lolote iwe vocha au bando lako la message, hivyo muingiliano km huo unaweza kupelekea salio kupungua.Issue siyo bundle, tunazungumzia tabia ya udokozi ya Halotel
Ukiweka salio la 5000 kesho asubuhi usilitumie, ikifika Monday hutakuwa na 5000 ila utakuta deductions
Sana mkuu, ukiweka bando la buku ni kama hujaweka kitu notifications zikiingia Tu limekwishaWanakera sana
utatuma message mfumo unakuwa huru kutumia salio lolote iwe vocha au bando lako la message, hivyo muingiliano km huo unaweza kupelekea salio kupungua.
Pole Sana mkuu, itabidi siku moja kama wateja lialia tuandae kikao cha wadau kujadili na namna Bora ya kuliwasilisha hili kwako. Linaonakena ni kilio cha wengi.
- Kila mwanzo wa mwezi naweka Tzs 15,000
- Najiunga kifurushi cha kupiga 4,500 mwezi
- Najiunga kifurushi cha sms mwezi
- Kinachobaki huwa ni akiba yangu in case vifurushi vimekwisha usiku au nikiwa sehemu isiyo na duka
- Hiyo akiba ndiyo wananiibia
Mkuu Naomba nitajie mfano WA hizo application maana nisijekuwa nafukuza mwizi wakati mwizi mwenyewe nnaye mmKuna siku nami ilitokea hadi nikapiga simu huduma kwa wateja kukalamika.
Nilichojibiwa nadhani kilikuwa sahihi, nilielezwa kuwa, kuna baadhi ya application zikiwa wazi hugeuka viwavi wa kubungua data hata usipotumia.
Kama tatizo haujalitafutia ufumbuzi nieleze nikuelekeze namna ya kuzuia.
Ingia kwenye SETTING:>Mkuu Naomba nitajie mfano WA hizo application maana nisijekuwa nafukuza mwizi wakati mwizi mwenyewe nnaye mm
AsanteIngia kwenye SETTING:>
Sim and network setting>
Data &security>
Data setting and data usage>
Network management>
App list.
Hizo Application list utakuta zipo wazi zikisubiria kutafuna data, ukizizima unakuwa umeukata mzizi wa fitina.
Sasa utakapohitaji kutumia data kwenye app ulizozizima, simu yako itakudai kuwasha app hiyo ndiyo iweze kufanya kazi.
Cha muhimu uielewe formula hii ya kuzima ama kuwasha hizo App list.