Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ukiweka salio 5000 kila siku wanakata fedha kidogokidogoKuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi