Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma

Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.

TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10

View attachment 2961155
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Mashirika mengi ya serikali yana fursa mkuu ila huwa hayapendi kuweka nguvu mwendelezo wa kujitangaza na kuja na mkakati wa kufanya marketing na kutafuta wateja bila kukata pumzi.

Nikupe mfano mmoja juzi hapa nilikuwa natuma mizigo yangu kutoka Dsm kwenda Singida, nikaenda kwenye Malori nikaambiwa laki 5 nauli.
Kwenye Mabasi wakataka laki 6.

Wazo likanijia nijaribu treni, huwez amini ule mzigo woote nikachajiwa elf 60 tuu, nikasema hivi serikali ina fursa nzuri hivi kwa nn isizitangaze vilivyo.

Tatizo na kutoweka fedha na juhudi katika Marketing, vikao vya ndani ni vingi kuloko ouputs zake. Fields ndo kila kitu
Siyo kwamba hayapendi, bali viongozi wake hawana "skills" za ujasiriamali. Wanaendesha biashara kwa mtazamo wa kijamaa.
 
Kwa wasio jua code ya TTCL ni 073.........
 
chakushangaza namba za ttcl ndio zinaongoza kwa kutumiwa na wale watu matapeli wa tuma kwenye namba hii.
 
Back
Top Bottom