Kweli kabisaBora kuzaliwa funza Ulaya kuliko kuwa mtanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaBora kuzaliwa funza Ulaya kuliko kuwa mtanzania.
Wajiunge na CCM mara ngapi?Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi hama hama, na ilianza kuaminika kuwa waliobaki ndiyo roho na moyo wa CHADEMA.
Lakini usajili wa leo wa Msigwa ndani ya CCM umetonesha makovu ya donda lililoanza kupona.
Nashawishika kuamini kuwa ipo siku hata Mbowe, Lisu, Mnyika, Heche na Lema watajiunga CCM.
Ni hayo tu!
Soma ===>> Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Lkn TAL alimsimamisha Msigwa kule Ikungi na kusema ni marafiki wa damu. Kuna uzi humu.Nadhani ndiyo ile pesa ya Abdul na Mom aliyosema TAL
chadema watabaki tu G-Z wazee wote waende watakakoSiku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi hama hama, na ilianza kuaminika kuwa waliobaki ndiyo roho na moyo wa CHADEMA.
Lakini usajili wa leo wa Msigwa ndani ya CCM umetonesha makovu ya donda lililoanza kupona.
Nashawishika kuamini kuwa ipo siku hata Mbowe, Lisu, Mnyika, Heche na Lema watajiunga CCM.
Ni hayo tu!
Soma ===>> Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kuhama chama kwa mtu ambaye ametangulizwa mbele kama kiongozi wa ideology (chama) inavunja maana na uwepo wa chama hicho.
Wahame wanachama wa kawaida hapo sawa.
Hebu angalia hii orodha ya waliohama:-Mashinji, Katambi, Dr. Slaa, na Msigwa. Mwanachama wa kawaida inakuwaje?
Kazi ya Chadema ni kuwasaidia CCM kutawala. YAANI namaanisha Chadema ni mpango wa kando wa CCM kuwadanganya wazungu.kuwa tuna mfumo wa Vyama vingi. Ni jiwe tu hakutaka kuendelea na huo mpango ili abane matumizi kwa maana ya kuwanyima ruzuku.Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi hama hama, na ilianza kuaminika kuwa waliobaki ndiyo roho na moyo wa CHADEMA.
Lakini usajili wa leo wa Msigwa ndani ya CCM umetonesha makovu ya donda lililoanza kupona.
Nashawishika kuamini kuwa ipo siku hata Mbowe, Lisu, Mnyika, Heche na Lema watajiunga CCM.
Ni hayo tu!
Soma ===>> Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Siasa ya Tanzania haina Imani ndio maana hakuna upinzani wa kweli. Ni maigizo tu.Hapana mkuu. Siasa ni Imani. Mtu anapokuwa kigeugeu kwa kile anachoamini ujue kuna shida
Wale machalii wanaompelekea moto Ruto hawana chama lakini wanafanya kazi iliyotukuka zaidi ya vyama vya siasa.Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Huko wanatafuta vyeo, kitu ambacho hakiwezi kutibika chadema kwakuwa hawana serikali...Nini kinawafanya wahamie CCM?
..kwa maneno mengine wanashawishika na nini?
..tukiweza kukiondoa hicho wanachokifuata huko CCM tutakuwa tumemaliza upuuzi huu kwa kiwango kikubwa.
Acheni CCM waendelee kuwachukua akina Kitambi, Msigwa, Kitila,bado chadema na upinzani utaendelea kuwepo ni itikadi na falsafa na mindset- walianza akina Mtei,Shariff Hamad nk hawapo lakini upinzani unaendelea ....Mkuu Upinzani ni Ideology na kamwe huwezi ua Ideology angalia anacho fanya Mpina utaelewa, Upinzani sio chama cha Siasa.
Bahati mbaya Bongo tunaacha Ideology na tunategemea watu. na by the way huwezi ua Ideology mkuu. Kule Saudi Arabia utawala ni wa Kifarume ila kuna Upinzani na hakuna Chama cha siasa, sasa upinzani unatoka wapi? China kuna Upinzania na Chama ni kimoja tu cha Kokomonist
Huko wanatafuta vyeo, kitu ambacho hakiwezi kutibika chadema kwakuwa hawana serikali.
Siasa ni kazi na Ajira kama zingine kinachoangiwa ni maslahi tuu 👇👇Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi hama hama, na ilianza kuaminika kuwa waliobaki ndiyo roho na moyo wa CHADEMA.
Lakini usajili wa leo wa Msigwa ndani ya CCM umetonesha makovu ya donda lililoanza kupona.
Nashawishika kuamini kuwa ipo siku hata Mbowe, Lisu, Mnyika, Heche na Lema watajiunga CCM.
Ni hayo tu!
Soma ===>> Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Hata huyo ambae unamheshimu anaangalia maslahi,ni ujinga wako ndio unakusumbua.Kuna vitu vinasikitisha sana nchi hii.
Hakuna kitu kinakera kama ujinga huu wa kina Msigwa. Nimemdharau sana
Nimekwambia namheshimu nani?Hata huyo ambae unamheshimu anaangalia maslahi,ni ujinga wako ndio unakusumbua.
Pesa na vyeo. Ndani ya cdm huwezi pata hivyo. Mnyika na Lema nao watafuata. Haswa Mnyika na Msigwa ni kama walichelewa kuhamia ccm, ila kwa nyakati tofauti walishafika bei kwenye utawala wa dhalimu magu...Nini kinawafanya wahamie CCM?
..kwa maneno mengine wanashawishika na nini?
..tukiweza kukiondoa hicho wanachokifuata huko CCM tutakuwa tumemaliza upuuzi huu kwa kiwango kikubwa.