Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Naona mbinu yako ya kumsifia jakaya na samia haijazaa matunda sasa umeanza kudili na wasaka na hii utafeli maana wataona umeanza kuwachoresha mapema na ukifeli na hii lazima uyatoe sadaka marinda maana hakuna namnaNdugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.
Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.
Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
I doupt that, hamna wazir aliepita wizara ya mambo ya ndani akawa rais, labda waziri mkuuNdugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.
Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.
Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe Jamaa kama kweli unaye mke na Watoto, Basi kiufupi Unawadhalilisha Sana Kwa Tabia Zako za Uchawa/ ndio Maana Kila Siku nakuhuliza Wewe ni WA jinsia Gani?Ndugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.
Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.
Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Subiri muda ufike.Unatamani kuwa SAMAKI sasa 🐼
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu maana watanzania wote sisi ni nduguHahaha.... SINA NDUGU KAMA WEWE AISEE ..
Ungejigunza kwanza kuandika ndio uje uulize maswali maana bado hujakomaa kiakili.Wewe Jamaa kama kweli unaye mke na Watoto, Basi kiufupi Unawadhalilisha Sana Kwa Tabia Zako za Uchawa/ ndio Maana Kila Siku nakuhuliza Wewe ni WA jinsia Gani?
Uwe na adabu.Kwa kuwa Tanzania tuna tabia ya kuziweka takataka ikulu, ni kweli hata huyu anaweza akawa taka mojawapo.
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hojaNdoto ya kipumbavu hiyo!
Wewe na nani?? Mbona kama unaforce undugu.... Siwezi kuwa na ndugu mwenye akili ya hovyo.Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu maana watanzania wote sisi ni ndugu
Masauni ni mtoto wa mpigania uhuru siyo kama Tumbiri wako 😂Subiri muda ufike.
Hayati All Hassan mwinyi alikuwa Waziri ya Mambo ya ndani na baadaye akawa Rais. Usifanye vitu kwa kukariri.I doupt that, hamna wazir aliepita wizara ya mambo ya ndani akawa rais, labda waziri mkuu
Wewe ni mhamiaji haramuWewe na nani?? Mbona kama unaforce undugu.... Siwezi kuwa na ndugu mwenye akili ya hovyo.
Ndiye anakwenda kupigania maendeleo ya Zanzibar kama Rais kuanzia 2030.Masauni ni mtoto wa mpigania uhuru siyo kama Tumbiri wako 😂