Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #21
Mimi sitafuti vyeo hapa jukwaaniNaona mbinu yako ya kumsifia jakaya na samia haijazaa matunda sasa umeanza kudili na wasaka na hii utafeli maana wataona umeanza kuwachoresha mapema na ukifeli na hii lazima uyatoe sadaka marinda maana hakuna namna
Kwahiyo utaolewa Zanzibar safari hii 😂Ndiye anakwenda kupigania maendeleo ya Zanzibar kama Rais kuanzia 2030.
Hunaga akili. Mtu mzima HovyoKwahiyo utaolewa Zanzibar safari hii 😂
Na wewe utakuwa nani wake baada ya kuwa Rais? Punguza utoto.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni ndio litakalopendekezwa na kuchaguliwa na CCM kupeperusha Bendera ya Urais kwa Upande wa Zanzibar.
Kwa Sasa Mheshimiwa Hamad Masauni Ni Waziri wa Muungano na Kabla ya Hapo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anafahamika kwa Upole wake na unyenyekevu kama ilivyo ada na kawaida ya watu kutoka visiwani Zanzibar . Siyo mzungumzaji sana wala muongeaji sana . Ni mtu mkimya sana na asiye na Makuu.
Naomba kuishia hapa na nisingependa kuendelea zaidi ya hapa.View attachment 3376469
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jifunze kuoga vizuri ile ni Unguja 🐼😁Hunaga akili. Mtu mzima Hovyo
Hoja hii ipo juu ya uwezo wakoNa wewe utakuwa nani wake baada ya kuwa Rais? Punguza utoto.
Thanks kwa kunijulisha, since then rais yupi mwingine alipita wizara hiyo?Hayati All Hassan mwinyi alikuwa Waziri ya Mambo ya ndani na baadaye akawa Rais. Usifanye vitu kwa kukariri.
Kumbe umeleta hoja na siyo ndoto! Wewe kweli ni kiazi mviringo.Hoja hii ipo juu ya uwezo wako
Ila unatafuta mme?Mimi sitafuti vyeo hapa jukwaani