Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea tu kusubiri hayo majibu.HATUDANGANYIKI!!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Malimbukeni tu hao.Mleta mada kaja na mada yake mnaanza kuweka utopolo wenu xx hio bandar ndio kila jukwaa tuzungumzie [emoji706]kama imewauma andamaneni na si vikelele vyenu kama panya
Utaishia kulalamika tu humu.Leo ndio amejua hayo? Tapeli tu.
Tunataka bandari zetu zote za Tanganyika alizopewa mwarabu.
Itakuwa wanapenda bandari zaidi kuliko story za Zumaridi, sio jambo baya.Malimbukeni tu hao.
Kila uchao bandari bandari
Safi kabisa!Hizi hoja peleka kanisani zijadiliwe na ppengo
Yutaandika popote na huna cha kutufanya.
Malimbukeni tu hao.
Kila uchao bandari bandari
Kumbe wajinga muko wengi kiasi hiki. Nikiona jina Yoda Nilikuwa nadhani una akili kumbe nawe ni mfuasi wa huu upumbavu.Kosa la Zumaridi ni lipi na lina athari gani katika nchi??
Huu ujinga uko usukumani tu. Hata Magufuli mlikuwa mnamuita mheshimiwa mungu. Na Mungu mwenyewe akamuonyesha kazi pale 17/03/21Nimemsikia mwandishi wa habari kanjanja wa Ayo TV analalamika Zumaridi kujiita mungu!
Ukiachalia mbaya hili sio kosa kwa sheria za nchi hii huyu mwandishi wa habari hajui hata kuficha hisia za upande wake katika kazi yake.
Hata wewe umekuwa indoctrinated huko ulikoKumbe wajinga muko wengi kiasi hiki. Nikiona jina Yoda Nilikuwa nadhani una akili kumbe nawe ni mfuasi wa huu upumbavu.
Kama anayofanya Zumaridi kuwa indoctrinate watu na wewe unaona sawa basi wewe ni msukule tu
Yakianza kuulizwa maswali magumu kuhusu dini yako na dhehebu lako utarusha ngumi na kutukana sana. Uhuru wa dini kwa kila mtu uheshimiwe, kama unaona Zumaridi anapotosha watoto wako au anakufuru wazuie kwenda kwake kumsikiliza.Pamoja na kwamba serikali haina dini lakini watu wake wana dini na uhuru huuu hautakiwi uvunje seria na ulete ukakasi kwa waumini wengine.
Kwanini hizi kufulu unazifumbia macho hali akiendelea kudanganya watoto innosent, Hamadi ujue utasimamishwa mbembe ya hukumu kwa kupewa madaraka na usitatumie ipasavyo.
Hivi kufulu hizi zingelikuwa zinafanyika Zanziber ungekaa kimya?
Hivi mnafikiria Paulo Kagame aliposimama na kuupinga upuuzi wa wanaojiita watumishi wa Mungu huku wakiwaibia hana akili sasa hivi Rwanda hakuna upuuzi wa hivi.
Mtuu anakuja Nabii Hubert Angle anawadanganya watu na mirrakle money serikali mpo tu wakati mnaona watu wanaibiwa wanadanganywa mpo tu?
Mtaulizwa siku ya kiama ! lakini sishangai kwa maana mmeruhusu hata Wachina wanawaibia watu na vibox vyao vya kamali mpo tu madai eti wanalipa kodi, kweli!! tumefikia hapo pa kuitaka kodi halamu.
Masauni tafakari.
Mbona Gwajiboi alisema anafufua wafu na sasa ni kiongozi ??Pamoja na kwamba serikali haina dini lakini watu wake wana dini na uhuru huuu hautakiwi uvunje seria na ulete ukakasi kwa waumini wengine.
Kwanini hizi kufulu unazifumbia macho hali akiendelea kudanganya watoto innosent, Hamadi ujue utasimamishwa mbembe ya hukumu kwa kupewa madaraka na usitatumie ipasavyo.
Hivi kufulu hizi zingelikuwa zinafanyika Zanziber ungekaa kimya?
Hivi mnafikiria Paulo Kagame aliposimama na kuupinga upuuzi wa wanaojiita watumishi wa Mungu huku wakiwaibia hana akili sasa hivi Rwanda hakuna upuuzi wa hivi.
Mtuu anakuja Nabii Hubert Angle anawadanganya watu na mirrakle money serikali mpo tu wakati mnaona watu wanaibiwa wanadanganywa mpo tu?
Mtaulizwa siku ya kiama ! lakini sishangai kwa maana mmeruhusu hata Wachina wanawaibia watu na vibox vyao vya kamali mpo tu madai eti wanalipa kodi, kweli!! tumefikia hapo pa kuitaka kodi halamu.
Masauni tafakari.