Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa

Halafu ukiitwa mbaguzi ukatae. Hivi wewe na akili zako finyu umeona clip inayozagaa inayoonyesha mfalme zumaridi akiwa brain washed watoto wenu wa kitanganyika? Sasa kiongozi wa serikali anatowa tamko juu ya kuwalinda wadanyika wenzenu na huridhiki na badala yake unaleta ubaguzi wako. Ama kweli mdanyika ni mdanganyika tu!
Haihitaji tamko la waziri, mbona Suguye alishughulikiwa na RPC tu na huduma ikasimamishwa kwa miezi ya kutosha? Nguvu kubwa kwa taasisi ndogo kama hiyo ndio wasiwasi wangu wa kututoa kwenye reli
 
Halafu ukiitwa mbaguzi ukatae. Hivi wewe na akili zako finyu umeona clip inayozagaa inayoonyesha mfalme zumaridi akiwa brain washed watoto wenu wa kitanganyika? Sasa kiongozi wa serikali anatowa tamko juu ya kuwalinda wadanyika wenzenu na huridhiki na badala yake unaleta ubaguzi wako. Ama kweli mdanyika ni mdanganyika tu!
Watangananyika hawajielewi achana NAO watakuumisha kichwa vichwa maji haoo
 
Zumaridi ni nani Hadi anaogopwa kiasi Cha Kuendesha mambo yake kinyume na sheria za Nchi?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema Serikali itazichukuliwa hatua taasisi zote za kidini ikiwemo taasisi inayoendeshwa na Diana Bundala maarufu ‘Zumaridi’ ambazo zinajiendesha kinyume na tamaduni za Kitanzania.

Akizunguma katika kikao kati yake na viongozi wa mashirikisho na mabaraza ya kidini, amesema miongoni mwa taasisi hizo ni zile ambazo hazijasajiliwa likiwemo kanisa la Zumaridi.

“Zipo tasisi ambazo zinaibuka kama huyo Zumaridi, hajasajiliwa. Ametoka huko anajiita yeyeni kiongozi wa dini. Utakuta wengine wanahamisisha mapenzi ya jinsia moja, mwingine anajiita yeye ni Mungu, wanazungumza mambo ya ajabu ambayo hayawezi kukubalika,” ameonya Masauni.

Amesema Serikali imekuwa ikichukua hatua kwa wote wanaokwenda kinyume na sheria kimaadili, mila na desturi pamoja na kueleza kwamba inapobainika kuna vikundi vya kidini vinavyotia shaka, ni vyema kutoa taarifa Ofisi ya Msajili ili kuiweka jamii katika hali ya usalama.

“Nichukue fursa hii kuwasihi viongozi wetu wa kiroho, kutoleta taharuki katika jamii kutokana na mafundisho mnayoyatoa yanaweza kutugawa katika kupambana na vitendo vya mmomonyoko wa maadili,” ameeleza.

---
Pia soma
- Serikali endeleeni kumchekea Zumaridi mpaka atakapoleta madhara
TUONE UTEKELEZAJI SASA SIO MANENO
 
Sawa,Mungu Zumaridi atasajiri hiko kikundi,wivu tu
 
Back
Top Bottom