Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa

Analalamika? Kwani huduma yake inafanyika vichochoroni?
 
We endelea tu kusubiri hayo majibu.
 
Mleta mada kaja na mada yake mnaanza kuweka utopolo wenu xx hio bandar ndio kila jukwaa tuzungumzie [emoji706]kama imewauma andamaneni na si vikelele vyenu kama panya
Malimbukeni tu hao.
Kila uchao bandari bandari
 
Leo ndio amejua hayo? Tapeli tu.

Tunataka bandari zetu zote za Tanganyika alizopewa mwarabu.
Utaishia kulalamika tu humu.
Kama hizo bandari ni zenu si mkazichukue! Unamlilia nani hapa akusaidie
 
Pamoja na kwamba serikali haina dini lakini watu wake wana dini na uhuru huuu hautakiwi uvunje seria na ulete ukakasi kwa waumini wengine.

Kwanini hizi kufulu unazifumbia macho hali akiendelea kudanganya watoto innosent, Hamadi ujue utasimamishwa mbembe ya hukumu kwa kupewa madaraka na usitatumie ipasavyo.

Hivi kufulu hizi zingelikuwa zinafanyika Zanziber ungekaa kimya?

Hivi mnafikiria Paulo Kagame aliposimama na kuupinga upuuzi wa wanaojiita watumishi wa Mungu huku wakiwaibia hana akili sasa hivi Rwanda hakuna upuuzi wa hivi.

Mtuu anakuja Nabii Hubert Angle anawadanganya watu na mirrakle money serikali mpo tu wakati mnaona watu wanaibiwa wanadanganywa mpo tu?

Mtaulizwa siku ya kiama ! lakini sishangai kwa maana mmeruhusu hata Wachina wanawaibia watu na vibox vyao vya kamali mpo tu madai eti wanalipa kodi, kweli!! tumefikia hapo pa kuitaka kodi halamu.

Masauni tafakari.
 
Malimbukeni tu hao.
Kila uchao bandari bandari

Wanapiga tuh kelele hapa wakiambiwa watoke kuandamana ndio watakua wakwanza kuwaambia wanafamilia wasitoke nje kuna hatari
 
Kosa la Zumaridi ni lipi na lina athari gani katika nchi??
Kumbe wajinga muko wengi kiasi hiki. Nikiona jina Yoda Nilikuwa nadhani una akili kumbe nawe ni mfuasi wa huu upumbavu.

Kama anayofanya Zumaridi kuwa indoctrinate watu na wewe unaona sawa basi wewe ni msukule tu
 
Nimemsikia mwandishi wa habari kanjanja wa Ayo TV analalamika Zumaridi kujiita mungu!
Ukiachalia mbaya hili sio kosa kwa sheria za nchi hii huyu mwandishi wa habari hajui hata kuficha hisia za upande wake katika kazi yake.
Huu ujinga uko usukumani tu. Hata Magufuli mlikuwa mnamuita mheshimiwa mungu. Na Mungu mwenyewe akamuonyesha kazi pale 17/03/21
 
Kumbe wajinga muko wengi kiasi hiki. Nikiona jina Yoda Nilikuwa nadhani una akili kumbe nawe ni mfuasi wa huu upumbavu.

Kama anayofanya Zumaridi kuwa indoctrinate watu na wewe unaona sawa basi wewe ni msukule tu
Hata wewe umekuwa indoctrinated huko uliko
 
Yakianza kuulizwa maswali magumu kuhusu dini yako na dhehebu lako utarusha ngumi na kutukana sana. Uhuru wa dini kwa kila mtu uheshimiwe, kama unaona Zumaridi anapotosha watoto wako au anakufuru wazuie kwenda kwake kumsikiliza.
 
Mbona Gwajiboi alisema anafufua wafu na sasa ni kiongozi ??
 
Huyu alifoji umri ili awe mwenyekiti wa vijana CCM,na iligundulika .Akatemeshwa u mwenyekiti eti leo waziri wa mambo ya ndani.Hii nchi hii taabu tupu.
 
Sasa akiwa kama mungu unataka nisajiri kwa nani sasa maana askali na taasisi zingine ameziumba yeye mungu wa jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…