Zanzibar kuchelee !!..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
Hapo sasa !!Kuaminika kwa nani?!!!
Wananchi ndo wanaamua kupitia sanduku la kura..
Je, kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi wapiga Kura wakachagua upinzani wewe utafanya nini?!!!
Ajabu kwani wengine wamekuwa wakiishije miaka yote !! Au wengine wamezoea kula mapochopocho na wengine waendelee kula michembo siku zote za maisha yao !! ?Wafanye kazi
Wamshukuru Jecha 2015..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
Tangu umejikita mpaka sasa unamzidi nani?Toka Lowassa ahamie Chadema harafu akarudi nyumbani ndiyo siku niling'amua kuwa ni muhimu kujikita katika shughuli za uzalishaji mali.
Kama ambavyo CCM inalinda tunu za Rushwa, ufisadi na uhujumu wa haki za binadamu wa Tanzania.Hakuna Chama cha upinzani kinaweza kuaminika kuongoza nchi hii. Haviwezi kulinda Tunu za Taifa na misingi ya nchi iliyoachwa na Mwalimu Nyerere. πππ
π€£π€£π€£π€£eti bwanaMnataka CCM wakale wapi maisha yenyewe magumu namna hii?π¬π¬
Wao hawataki shida mkuuZanzibar kuchelee !!
Hapo sasa !!
Ajabu kwani wengine wamekuwa wakiishije miaka yote !! Au wengine wamezoea kula mapochopocho na wengine waendelee kula michembo siku zote za maisha yao !! ?
mbowe alihongwa na familia yakoKama mbowe.
Huyu hajateuliwa?
Toka Lowassa ahamie Chadema harafu akarudi nyumbani ndiyo siku niling'amua kuwa ni muhimu kujikita katika shughuli za uzalishaji mali.
Kama mbowe.
Hakuna Chama cha upinzani kinaweza kuaminika kuongoza nchi hii. Haviwezi kulinda Tunu za Taifa na misingi ya nchi iliyoachwa na Mwalimu Nyerere. πππ
Tangu umejikita mpaka sa
Isiwe tabu mwanaccm, samahani kwa kuugusa ukoo wa NgoyaiTangu umejikita mpaka sasa unamzidi nani?