Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

Ni ajabu kuona mtu anasapoti magaidi/zionists, mtu anauwa watoto, wamama, wazee bado tu unawasapoti! Huo sio ubinadamu
World has changed my friend kudeal na gaidi ni kumfanyia ugaidi walichokifanya october 7 ndo wanakilipa ndo kipimo chao hicho hakuna anayependa haya mauaji ila ifike mahala mtu asikuonye mnyonge sana
 
Back
Top Bottom