Wakimbie mapigano,kama hawataki idadi itafika 150,000.Netanyahu si mtu wa kujaribiwaUnaongea kama umekatwa kichwa raia zaidi miioni 1 na nusu waondoke waende wapi?
Vita imeisha na sasa ni post war plan mkuu Ritz ! Mmekanyagwa pole sanaWameishaanza kutema bungo.
View: https://x.com/qudsnen/status/1791896004867833868?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mwenye nacho anaongezewa mwenye kidogo ananyanganywa alichonacho hii ndio dunia ilivyo.Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.
Dhidi ya watu wetu.
Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.
Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.
Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."
Chanzo: Hamas Rasmi tg
View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Soma hii hali ilivyo wewe Muisrael mweusi hauna unachojua zaidi ya ushabiki mandanziVita imeisha na sasa ni post war plan mkuu Ritz ! Mmekanyagwa pole sana
Israeli Opposition Leader Gantz, kaishamwambia Netanyahu hatuwezi kupambana na Hamas wala kufikia malengo tuondoe jeshi kama hauataki tunajiondoa kwenye serikali, wewe Yahudi jeusi la Ushirombo ufahamu lolote zaidi ya ulokole na ushabiki mandazi.Wakimbie mapigano,kama hawataki idadi itafika 150,000.Netanyahu si mtu wa kujaribiwa
Wale wanaouwawa Sudan hawakuhusu eeeeeeeh?Israeli Opposition Leader Gantz, kaishamwambia Netanyahu hatuwezi kupambana na Hamas wala kufikia malengo tuondoe jeshi kama hauataki tunajiondoa kwenye serikali, wewe Yahudi jeusi la Ushirombo ufahamu lolote zaidi ya ulokole na ushabiki mandazi.
Amekwisha mshabiki wa Hamas! Kazi kwenuWewe mlokole una shida sana sasa ajali nayo unashangilia.