Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Israel anajua Gaza hapigani na Hamas bali hamasi kama kivuli tu.anajua anapigana na makomandoo wa Iran.
Na Hamas hawakuwa na jeuri ya kushikilia mateka mda wote huo.
Sasa Israel wao hawataki kelele za mbuzi yoyote.
Sioni wa kusimamisha atapiga rafah na wakiangalia vibaya Siria,Lebanon kutawaka moto.popote pale watakapijua Hamas ameweka Kambi Kwa ajili ya kuishambulia Israel.
Kama kajibu mapigo Kwa Iran Nini Tena.
Pindi Iran anapiga Israel alipiga mkwala mzito kwamba wasithubutu kuripiza,ila ikawaje c alienda nae kupiga kwake kabisa Tena akilenga Vinu kabisa.
Walishasema,vita waliianza Hamas,hivyo wakuvimaliza ni Hamas wenyewe Kwa kusambaratika.
Pale wapo makomandoo wa Iran,Lebanon,Siria na Misri.
Mziki mnene,myahudi sio poa