Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Yahudi Jeusi la Ushirombo linatoa tamko huku linaumwa UTI sugu.

BADO HUJASEMA, BADO MPAKA USEME NA UTATOKWA SANA NA POVU MBWA WEWE... WATU WANAGONGA KINYAMA HASA... 🤣MPAKA USEME YOTE SAFARI HII.
 
HAMAS alikosea sana kuua raia wasio na hatia October 7. Haya ndio madhara yake sasa, Israel ana hasira kama Sheikh aliyelishwa nguruwe.
 
Hizo ni mbinu za kijinga za Israel wanataka kufanya kama mwanzo wanaenda wakifika huko wanawapiga mabomu pamoja na yote hawawez kufanikiwa kwa chochote wanadhani mataeka wapo Rafah .
Ndio maana Aljazeera imefungiwa kwa uongo wa hivi.. safe place haipigwi na idf ila eneo lolote likitumika kushambulia idf na Israel automatically panakuwa War zone.. Hamas wanajua hilo ndio maana waarab wengine waligoma kutoka majumbani mwao kizuia magaidi wasitumie nyumba zao kushambulia.. Hamas wanasaidiwa na Aljazeera na Qatari. Kuna guruneti lilirushwa kutokea kwenye tent eneo salama walilotenga Idf
 
Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhali
Hapa unakubali wanawatumia raia kama ngao?
 
Nakumbuka wakati ule baada oct 7 wakina Ritz na bibi kikongwe walivyokua wanatoa angalizo kwamba ole wao IDF watie mguu ndani ya Gaza watajuta kuzaliwa
 
Attachments

  • B1D02E8C-FB98-4285-A491-EC8FFFFED3E7.png
    B1D02E8C-FB98-4285-A491-EC8FFFFED3E7.png
    950.2 KB · Views: 4
  • AC33C86E-6A91-4D9C-A194-851D178A9853.jpeg
    AC33C86E-6A91-4D9C-A194-851D178A9853.jpeg
    237.8 KB · Views: 5
Nikimbie nini sasa hawa mabasha zako wanapigana vita na watoto na kuvunja majengo, hawajaokoa hata mateka mmoja kuja jeshi hapo au kundi la mashoga ambalo mnakesha JF kushabikia nyie walokole wa JF wajingq sana.

View: https://x.com/suppressednws/status/1788012220053344663?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

" Coward enemy"

"They can't face men on ground, they can only target civilian"
Hii statement inafikilisha

Hivi Hamas wapo on open ground battlefield au wamejichanganya na Raia au wapo Kwa undergrounds bunker?

Maana wangekua on ground na military camp zao zingekua open hii vita Wala isinge kuwepo mpaka Sasa

Hamas hawajali kutoa sadaka ya damu mpaka tone la mtu wa mwisho wa Palestine for their "great cause"

Hawajali madhira wanayopitia Raia wa Palestine" chuki waliyonayo Kwa Israel ni kubwa kuliko upendo walio nao kwa watoto wao"
 
... pamoja na yote hawawez kufanikiwa kwa chochote wanadhani mataeka wapo Rafah .
Unadhani Israel inatafuta mateka tena? Kama wapalestina na watekaji Hamas wenyewe hawana makazi maalum na chakula, mateka watapewa chakula gani? Israel inajua kabisa si rahisi kuwapata mateka wakiwa hai, ni kama imewa sucriffice, kwa sasa wamejielekeza zaidi kuwaeliminate au kuwapunguza kwa kiasi kikubwa wapalestina katika ardhi ya Gaza na West Bank
 
Hahaha Mungu ndiyo anaweza kupunguza watu Wapalestina wanaume 90% wana wake Wanne Wasrael 80% ni mashoga baada ya miaka 3 tu Gaza inazidi kuongezeka Israel wa mashoga wao wanabaki kulawawitiana ndiyo maana Wapelestina wala hawana wasiwasi wapo pamoja na Hamas.
 
Toka October 30,Askari wa Israeli waliofariki ni 265. Idadi ya Wagaza wakiwemo Hamas ni karibu 37,000.kwa ratio hii wacha tu Israeli ivamie Rafah. Sio Mbaya kama wakifa Wazayuni 300 na wavaa,vipedo, misuli na makobazi 40,000.Magaidi na vizazi vyake itakuwa vimetokomezwa kiasi fulani šŸ¤”
 
Watu milioni 1,5 unawambia waende sehemu ndogo ambayo hamna nyumba, hamna maji, hamna, umeme, hamna miundombinu kisha wakifika huko uwapige mabomu kama mwanzo?
Ndio muone madhara ya vita kuliko kujihanikiza eti tuifute Israel, utafutaji taifa lenye nyuklia kabla wewe hujafutwa? Huone namna Rusia anavyohenyesha NATO?
 
Ndio muone madhara ya vita kuliko kujihanikiza eti tuifute Israel, utafutaji taifa lenye nyuklia kabla wewe hujafutwa? Huone namna Rusia anavyohenyesha NATO?
Wewe unaongea uharo mfano wako wa kijinga sana Palestina wanapambania ardhi yako yoka 1947 wewe ulivyokuwa punguani unataka wafanyaje? Pelestina wanaishi gereza la wazi siku zote hawana haki zozote kwenye taifa lao wewe hauna unalojua zaidi ya ushabiki mandazi, unatoa mfano wa Urusi na Nato wapi na wapi.
 
Hii taarifa imekaa kivitisho huku ikiomba msaada wa Kimataifa , Kiraia na kulaani Mauaji ya raia.
Inachanganya sana. Kipi ni kipi
Bora wewe umeona hilo, yaani jamaa haeleweki, kavurugwa na anatia huruma.

Ngoja sindano iingie.
 
Hahaha Mungu ndiyo anaweza kupunguza watu Wapalestina wanaume 90% wana wake Wanne Wasrael 80% ni mashoga baada ya miaka 3 tu Gaza inazidi kuongezeka Israel wa mashoga wao wanabaki kulawawitiana ndiyo maana Wapelestina wala hawana wasiwasi wapo pamoja na Hamas.
Wapalestina wataongezeka, lakini nje ya Gaza na West Bank, maybe Misri huko kama wataruhusiwa kuingia
 
" Coward enemy"

"They can't face men on ground, they can only target civilian"
Hii statement inafikilisha

Hivi Hamas wapo on open ground battlefield au wamejichanganya na Raia au wapo Kwa undergrounds bunker?

Maana wangekua on ground na military camp zao zingekua open hii vita Wala isinge kuwepo mpaka Sasa

Hamas hawajali kutoa sadaka ya damu mpaka tone la mtu wa mwisho wa Palestine for their "great cause"

Hawajali madhira wanayopitia Raia wa Palestine" chuki waliyonayo Kwa Israel ni kubwa kuliko upendo walio nao kwa watoto wao"
Mleta uzi hawezi kukujibu hili.
 
Back
Top Bottom