Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Anataka ardhi kua na akili waisrael walikua wanataka sana kumega ardhi utahaira wa Hamas October 7 wameokota dodo chini ya mwembe washachukua Ekta zaidi ya 980 mpaka Sasa .
Kwasababu wanaume wenyeqe ni hamas. Basi hiyo ardhi itarudi tu, haijarishi itachukuwa muda gani
 
Ismail Haniyah na wenzake walioko Qatar wameona wakubali ili kumlainisha Israel astop rafah invasion maana pale ndo ngome kubwa ya hamas iliyobakia ambayo haijafumuliwa na Israel na ambayo ina viongozi na wapiganaj kibao wa hamas wamejificha na kingine wapalestina wanaikimbia rafah hivyo suala la kuwatumia raia kama ngao nalo limeshindikana hivyo viongoz wa hamas waliopo qatar wamechanganyikiwa
Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhali
 
Wanakumbi.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."

Chanzo: Hamas Rasmi tg

View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

jamaa wanabiti ila tena ndio waoga balaaa 🐒
 
Una nguvu unataka jjumuiya za nini pambafyu pambaneni mtajutaa
 
Una nguvu unataka jjumuiya za nini pambafyu pambaneni mtajutaa
Umesoma shule gani ya Kata hapo Uyole? Yahudi jeusi halijui hata kuandika😀
 
Kuna punguani moja eti yeye anaanzisha mada halafu yeye huyo huyo tena ndio ana-comment mwanzo hadi mwisho. Bure kabisa.
 
Ovyoooo udiniii unakutesaaa pambafuu wewee pigaaa mpaka mjue Israel n nani pambafuu
“However, you must not let any living thing survive among the cities of these people the Lord your God is giving you as an inheritance. You must completely destroy them – the Hethite, Amorite, Canaanite, Perizzite, Hivite, and Jebusite ….” (Deut. 20:16-18)

“Now go and attack the Amalekites and completely destroy everything they have. Do not spare them. Kill men and women, infants and nursing babies, oxen and sheep, camels and donkeys.” (1 Sam 15:3)
 
Andika ujifurahishe, upate amani. Hamas atachapwa kokote atakachojificha.
Wewe mlokole wa JF usiwe punguani mabwana zako wanapigana na watoto na kuvunja majengo, wewe ambao ujifurahishi waambie mabwana zako wakomboe mateka wao leo zaidi ya miezi 7 hawajui walipo.
 
Utakufa na umasikini njoo kwa Yesu nyama...
Kuna aina 5 za wafuasi wa Israeli:

1) Wayahudi wa Kizayuni

2) Wakristo waliopotoshwa ambao wanaamini kwamba watabarikiwa kwa kuwaunga mkono “watu waliochaguliwa na Mungu”.

3) Watu wasiopenda Waislamu

4) Waisrel weusi hawa wengi walokole wanaamini Israel ni kwao’

5) Hawa hawana wanachojua kuhusu Israel wanaamini story za zamani kuwa Wayahudi ndiyo kila kitu.
 
Mimi ninachojiuliza kwani hao wapiganaji wa Hamas na viongozi wao hawawezi kujichanganya kwa raia na kuondoka rafah? Mbona kama utakua ni mchezo wa kujaza maji kwenye tenga?? Kama wakijichanganya na raia je IDF inaweza kuwatambua?? Mkuu msaada tafadhali
Hapo mwanzo pia hawakusubiri ushauri wako.Wana njia nyingi za kuwapiga chenga IDF na kuendeleza mapambano.Wanatembea juu na chini ya ardhi.
 
Back
Top Bottom