Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Mhhhhu! Kama hakuna kitu mbona sasa Magaidi hao wanahaha? Israeli anajua anachokwenda kufanya hapo - we subiri uone. Hakuna cha mauaji ya kimbari hapo unless useme wewe hujui maana ya mauaji ya kimbari. Hapo ni Myahudi anamfunza adabu HAMAS na kuwaTiisha wale vichwa ngumu watakaokaidi kuondoka kama walivyo amriwa na IDF ili kupisha kichapo.
Unajidanganya sana, wanaowazuia wasiende Rafah ni Hamas?? Endelea kuaminishwa kama mlivyoaminishwa kuwa hospitali zina maandaki na zinatumika kama operation center
 
Pole ustaadh aljazeera wanasema Israel’s war on Gaza live: Thousands flee Rafah as Israel warns of assault so wapalestina wanajua pa kwenda na maelfu kwa maelfu wanaondoka rafah maana wamechoka kuwa ngao ya kulinda magaidi ya hamas halafu wewe mpalestina koko wa mchambawima uliyeshiba tende feki za misaada eti ndo umekaza fuvu unauliza waondoke waende wapi?
Muisrael mweusi wa Uyole anawasemea Wapaletina eti wamechoka 😀😀

Mabasha zako wanapigana vita na watoto na wagonjwa.

View: https://x.com/qudsnen/status/1787723557994205340?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unajidanganya sana, wanaowazuia wasiende Rafah ni Hamas?? Endelea kuaminishwa kama mlivyoaminishwa kuwa hospitali zina maandaki na zinatumika kama operation center
Hapana. HAMAS hawajawazuia wasiende Rafah kwani hawana kabisa huo uwezo.
 
Nimeona bendera ya Mwamba inapepea hapo. Mji umekuwa kimyaaaaaa. Hakuna hata njiwa/mbwa/paka barabarani. Dah! Inatisha. Mji upo kwenye simanzi kuu.
Ukitaka kujua kwa nini Israel itashindwa huko Rafah, pointi mbili.

1. Video iliyochapishwa jana inaonyesha shambulio dhidi ya nyadhifa za IDF kwenye Ukanda wa Netzarim katikati mwa Gaza, ambalo IDF walisema wana udhibiti kamili.
Wataishia kuvunja majumba na kuuwa watoto tu.

View: https://x.com/naksbilal/status/1787751074943627395?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🚨BREAKING: HAMAS YAKATAA KWENDA MISRI KWA MAZUNGUMZO YA MKATABA WA MATEKA

WSJ iliripoti kuwa ujumbe wa Hamas umekataa kuhudhuria ukamilishaji uliopangwa wa kesho wa mpango wa kutekwa nyara.

Biden na Netanyahu wamepangwa kuzungumza baadaye leo.

Mkataba huu wa Utekaji Mateka/ Usitishaji vita umekuwa ukining'inia kwenye mtandao, na leo, Israel ilitoa maagizo ya kuhamishwa kwa Rafah, inaonekana kushinikiza Hamas kukubali mpango huo.

Chanzo: WSJ
Watakuwa wameshaua mateka wote
 
Wanakumbi.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."

Chanzo: Hamas Rasmi tg

View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Attachments

  • 96d91172-aed6-49f3-8b81-ecd140092271.jpg
    96d91172-aed6-49f3-8b81-ecd140092271.jpg
    1.4 MB · Views: 8
Hakuna kitu Israel ataenda kukipata Rafah ambacho atajivunia ni ushindi dhidi ya Hamas zaidi ya kufanya mauwaji ya kimbali ya raia na kupata aibu kuu
Anataka ardhi kua na akili waisrael walikua wanataka sana kumega ardhi utahaira wa Hamas October 7 wameokota dodo chini ya mwembe washachukua Ekta zaidi ya 980 mpaka Sasa .
 
Wanakumbi.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."

Chanzo: Hamas Rasmi tg

View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Israel ni magaidi
 
Back
Top Bottom