Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Sa unaona akili zakoNjaa ikihamia kichwani hapo ndipo inakuwa ni tatizo kubwa sana huyo Jamaa yenu ana Njaa ya kichwani mbaya zaidi ana Njaa ya tumboni hivyo nawaomba mpeni tu sadaka nyingi kama ilivyo kawaida yenu na ujinga wake huo utaisha. Nawasitikia sana waislamu maana wanahangaika sana na WASAKA-TONGĘ.
NETANYAHU Pumbavu Akili alina!!!! sasa yeye ndio kacheza kamari mbaya!!! Imewagalimu WAISRAEL vifo vilema pasi na SABABU!!!!
HAMAS tangu mwanzo walipoteka siku ya pili yake Wakatangaxa kuwa Wao awataki Vita ila Wanataka tu kubadilishana Mateka na ISRAEL!!
wakati huo nayo ISRAEL inawashikilia mateka WAPALESTINA karibu erufu 10000 awana makosa yoyote
ila ni UJUA UBABE UBEBERU tu Hamas wakiwa Watulivu sana walijiamini ndio mana walivamia KAMBI za JESH 4 uko ISRAEL
sasa NETANYAHU alitakiwa kwanza akubaliane na HAMAS ili kuwatoa WAPALESTINA nayeye angechukua RAIA wa ISRAEL wote wakiwa Wazima wa Afya
baada ya apo ndio kama lilitaka kuuwa watu ovyo kama kuku lingefanya Upumbavu wake lkn uku linataka kumwaga DAMU Wapalestina
uku Linajidai linawatafuta Raia wa ISRAEL uko uko Walipo Yeye ndio anapeleka makombora makubwa leo atajidai nayeye analia kuusu WAFU wao!!!!
Wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanaweza kuamini UHARO wako huo!!
Hivi kichwani una kitu kweli au una ubongo wa sisimizi nakuacha upambane na Amnesty Internationala
Amnesty International’s research has found sufficient basis to conclude that Israel has committed and is continuing to commit genocide against Palestinians in the occupied Gaza Strip, the organization said in a landmark new report published today.
Kamuulize Mwanakijiji😂
Awa jamaa walijiona wenye Akili sana wkt Wapalestina wana rusha mawe lkn wenye Akili wenzao Wakawapa Mitutu !!!! sasa Wataelewa kuwa Palestina ndio mwenye Ardhi yake miguu yote 2 imepotea!!!!
Kwanza ungesoma na kuelewa sijui kama ungejidhalilisha kujibu ivyo !!!! Zwazwa sana
kilichooandikwa wafungwa 157 na WAPALESTINA waliotekwa baada ya 7octb 445 majesh ya Israel yalipoingia Gaza yalibebe watu kama wao walivobebwa uko Israel
sasa jamaaa unadai awa wafungwa sijui walibaka sijui wezi!!!!!! Na picha zipo wakichukuliwa awa Wapalestina!!!
Jamaa muongo muongo sana!!! Ndio mana nimekupa nafasi ya kwanza ktk Walokole waongo zaid umu jamii forum!!!
Mmemuweka chini ya Mtutu unafikiri atasema niniMsikilize mwenye watoto acha na ujinga
View: https://x.com/adamemedia/status/1892537043302965354?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwani uongo….