Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Sa unaona akili zakoNjaa ikihamia kichwani hapo ndipo inakuwa ni tatizo kubwa sana huyo Jamaa yenu ana Njaa ya kichwani mbaya zaidi ana Njaa ya tumboni hivyo nawaomba mpeni tu sadaka nyingi kama ilivyo kawaida yenu na ujinga wake huo utaisha. Nawasitikia sana waislamu maana wanahangaika sana na WASAKA-TONGĘ.