Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Waziri Mkuu wa Jordan, Jafar Hassan:

⭕ Msimamo wa Jordan uko wazi na thabiti kuhusu kuhama [wa watu wa Palestina]; hakutakuwa na makazi mapya, hakuna uhamisho, na hakuna ufumbuzi kwa gharama ya Jordan.

⭕ Jordan inafanya kazi na Misri, ndugu zetu Waarabu, na ndugu zetu huko Palestina kuunda msimamo mmoja na wazi wa Kiarabu kuhusu ujenzi mpya wa Gaza.

⭕ Jordan haitachukua hatua kwa upande mmoja katika masuala yanayohusiana na mustakabali wa Palestina na kanda.

⭕ Uhusiano wetu na Marekani ni wa kimkakati ambao umekuwa ukiendelea kwa miongo kadhaa, na tunatafuta kuelekeza juhudi zetu kufikia usalama, utulivu na amani katika eneo hili, tukiwa na suluhu la haki kwa suala hilo msingi wake.


View: https://x.com/qudsnen/status/1889597879095787959?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unashangaa Kuna nchi wanajeshi wamekimbia kwaadui kuomba hifadhi ( move from war zone to comfort zone). Hawa jamaa wanaujua uchungu wa mother land haswa.

Mwenyezi mungu mtukufu awahifadhi kwa nia yao thabiti ya kuitetea nchi yao.
Huyo mungu hawezi kuwahifadhi wauaji na wabakaji waliotenda vitendo vya kinyama Oct 07,2023
 
Kuna ajabu gani bunduki hiyo Waliipora Oct 07,2023 wakati wa uvamizi ambao sasa hivi unawatokea puani
 
Mtalalamika sana tu lakini cha moto lazima mkipate Maana kwenu kulalamika ni Jadi yenu
 
Ngoja lango la Jehanam lifunguliwe mtaeleweka tu!! Israel wanachotaka ni watu wao tu kingine mkiendelea kushupaza shingo mtakiona Jumamosi mchana!!
 
Endeleeni kushupaza shingo Jumamosi mchana si mbali mtakiona cha moto!!
 
Jumamosi si mbali subirini kitakachomtokea huyo Zubeda wako!!
 
Wanageuka kwa watoto wewe Myahuidi mweusi huwezi kuwafahamu Hamas Tel Aviv ndiyo wanawajua wewe endelea na ushabiki mandazi.
Wewe unaijua Tel Aviv au Unafuata tu Propaganda za waarabu si rahisi kama unavyofikiria!!
 
Humanity stands with Palestine.

Evil stands with Israel.
Humanity gani wanayo Hamas kwa unyama na ukatili walioufanya Oct 07,2023? Kama na Kama Israel inajibu mapigo ninyi mna sema ndiyo Evil? Wajinga na wapumbavu ndiyo wataamini uongo wenu.
 
Safi sana Hamas usitishwe na Trump hawezi fanya lolote kuliko aliyo fanya Biden
 
Nguvu za israel zipo wapi mbona sasa Wameuza mzozo kwa Marekani na sisi tuliambiwa israel ni Zaid ya Marekani au mm ndio sikuwaelewa awa Walokole wa Kitopeni!!!!!
Walokole hasa wa tanzania na kenya ndo wanawaabudu wazungu wanaojiita israeli
 
Kammwambia mpango wako mzuri ngoja tukakae na Waarabu wataamua😀
Yani Tramp lipo kana zigo furani kichwa mwili PUTO. King Abdullah yupo Smart Hatari kichwani!!! MAREKANI imepatikana kwasasa uyu jamaaa sijui kama atamaliza Salama!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…