Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mungu hawezi kuwahifadhi wauaji na wabakaji waliotenda vitendo vya kinyama Oct 07,2023Unashangaa Kuna nchi wanajeshi wamekimbia kwaadui kuomba hifadhi ( move from war zone to comfort zone). Hawa jamaa wanaujua uchungu wa mother land haswa.
Mwenyezi mungu mtukufu awahifadhi kwa nia yao thabiti ya kuitetea nchi yao.
Endeleeni kushupaza shingo Jumamosi mchana si mbali mtakiona cha moto!!Abu Ubeida:
Katika muda wa wiki tatu zilizopita, uongozi wa upinzani umefuatilia ukiukaji wa adui na kushindwa kuzingatia masharti ya makubaliano; kutokana na kuchelewesha kurejea kwa waliokimbia makazi yao kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, kuwalenga kwa makombora na risasi katika maeneo mbalimbali ya Ukanda huo, na kutoruhusu misaada ya kila aina kuingia kama ilivyokubaliwa, wakati upinzani umetekeleza majukumu yake yote.
Kwa hivyo, makabidhiano ya wafungwa wa Kizayuni ambao walipangwa kuachiliwa Jumamosi ijayo, sawa na 02-15-2025, yataahirishwa hadi ilani nyingine, na hadi uvamizi huo utakapojitolea na kufidia stahili za wiki zilizopita kwa kurudi nyuma, na tunathibitisha ahadi yetu kwa masharti ya makubaliano hayo mradi tu wataendelea kuwashikilia.
Jumamosi si mbali subirini kitakachomtokea huyo Zubeda wako!!Angalia punguani huyu mtu akiongea kiingereza anakuwa msomi😬
Hawa mapunguani wakiona watoto wa kizungu wanangea Kingereza wanawaita watoto wasomi😂
Mada ni hii👇🏽
Abu Obeida:
During the past three weeks, the resistance leadership has monitored the enemy's violations and failure to abide by the terms of the agreement; from delaying the return of the displaced to the northern Gaza Strip, targeting them with shelling and gunfire in various areas of the Strip, and not allowing relief supplies of all kinds to enter as agreed upon, while the resistance has implemented all its obligations
Accordingly, the handover of the Zionist prisoners who were scheduled to be released next Saturday, corresponding to 02-15-2025, will be postponed until further notice, and until the occupation commits to and compensates for the entitlements of the past weeks retroactively, and we affirm our commitment to the terms of the agreement as long as the occupation commits to them
Wewe unaijua Tel Aviv au Unafuata tu Propaganda za waarabu si rahisi kama unavyofikiria!!Wanageuka kwa watoto wewe Myahuidi mweusi huwezi kuwafahamu Hamas Tel Aviv ndiyo wanawajua wewe endelea na ushabiki mandazi.
Humanity gani wanayo Hamas kwa unyama na ukatili walioufanya Oct 07,2023? Kama na Kama Israel inajibu mapigo ninyi mna sema ndiyo Evil? Wajinga na wapumbavu ndiyo wataamini uongo wenu.Humanity stands with Palestine.
Evil stands with Israel.
Safi sana Hamas usitishwe na Trump hawezi fanya lolote kuliko aliyo fanya BidenWanaukumbi.
Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice.
=========================
⚡️BREAKING: Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali huko Gaza ilichapisha muhtasari wa ukiukaji wa Israeli wa vifungu vya kibinadamu vya makubaliano ya kusitisha mapigano:
- Malori 12,000 ya misaada yanapaswa kuwa yameingia Ukanda wa Gaza kwa sasa. 8,500 tu ndio wameingia. Shirika la Kizayuni limeshindwa kufikia mwisho wa makubaliano na lori 3,500.
- Malori 50 ya mafuta yalitakiwa kuingia Ukanda wa Gaza kila siku. 15 tu wameingia kila siku. Shirika hilo la Kizayuni limekiuka usitishaji vita wa lori 35 za mafuta kila siku.
- Nyumba 60,000 za muda zilitakiwa kuingia Ukanda wa Gaza. Hakuna kitengo hata kimoja kilichoingia, kuzuia mamia ya maelfu ya watu wa Gaza kupata makazi ya muda.
- Mahema 200,000 yalitakiwa kuingia Ukanda wa Gaza. 20,000 tu ndio wameingia. Jumuiya ya Kizayuni imeshindwa kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano, kwani mahema 180,000 zaidi yanapaswa kuingia Ukanda huo.
===============
⚡️BREAKING: The Government Media Office in Gaza published a summary of Israel’s violations of the humanitarian clauses of the ceasefire agreement:
- 12,000 aid trucks should have entered the Gaza Strip by now. Only 8,500 have entered. The zionist entity has fallen short of its end of the agreement by 3,500 trucks.
- 50 fuel trucks were supposed to enter the Gaza Strip daily. Only 15 have entered daily. The zionist entity has violated the ceasefire to the tune of 35 fuel trucks every day.
- 60,000 temporary mobile housing units were supposed to enter the Gaza Strip. Not a single unit has entered, preventing hundreds of thousands of Gazans from obtaining temporary shelter.
- 200,000 tents were supposed to enter the Gaza Strip. Only 20,000 have entered. The zionist entity has failed to implement the ceasefire agreement, as 180,000 more tents are supposed to enter the Strip.
View: https://x.com/suppressednws/status/1888992089490543051?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE
===================
View: https://x.com/qudsnen/status/1889225301663850839?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Endelea kuwatia ujinga sababu Jumamosi mchana wewe hutakuwepo huko utakuwa Manzese ukipata supu ya kitimoto safi!!Safi sana Hamas usitishwe na Trump hawezi fanya lolote kuliko aliyo fanya Biden
Walokole hasa wa tanzania na kenya ndo wanawaabudu wazungu wanaojiita israeliNguvu za israel zipo wapi mbona sasa Wameuza mzozo kwa Marekani na sisi tuliambiwa israel ni Zaid ya Marekani au mm ndio sikuwaelewa awa Walokole wa Kitopeni!!!!!
Heri yako wewe unaabudu waarabu!!Walokole hasa wa tanzania na kenya ndo wanawaabudu wazungu wanaojiita israeli
Yani Tramp lipo kana zigo furani kichwa mwili PUTO. King Abdullah yupo Smart Hatari kichwani!!! MAREKANI imepatikana kwasasa uyu jamaaa sijui kama atamaliza Salama!!!!Kammwambia mpango wako mzuri ngoja tukakae na Waarabu wataamua😀