Wanashikana mashati mi mbwiga ya kiIsrael Netanyahu kavamia msitu Mkubwa Duniani Palestina sio kitu kidogo. Ichi kibabu paka Paka kitakufa na presha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wenzake wanafurahi huko kajibebesha zigo la misumari wamepita marais toka mwaka 1948 wameshindwa kupambana na Wapestina wamekufa wameiacha Palestina😅Wanashikana mashati mi mbwiga ya kiIsrael Netanyahu kavamia msitu Mkubwa Duniani Palestina sio kitu kidogo. Ichi kibabu paka Paka kitakufa na presha
Misri iliifahamisha rasmi Ikulu ya White House kwamba haina nia ya kuwa mshirika katika mpango wa uhamisho wa Trump: "Tunaunga mkono haki ya watu wa Palestina kuamua hatima yao na kuanzisha taifa huru."Wanashikana mashati mi mbwiga ya kiIsrael Netanyahu kavamia msitu Mkubwa Duniani Palestina sio kitu kidogo. Ichi kibabu paka Paka kitakufa na presha
Mwizi tena Hahahahaa. Hiz hasira mnazitoaga wapi. Kwahiyo wewe kwa akili yako waarabu wote ni waislam akili za kubumba kweli hiz. Nielekeze namna ya kuweka video nikutumie video nilipo tena uarabuni. Nikusaidie. Nipo al ain kusin mwa Dubai. Na kwa taarifa yako mi nakusidia cjawah kuajiriwa tangu namaliza la saba 93 mpaka muda huu.Wewe mwizi umefukuzwa kazi dukani kwa Filip Matemu baada ya kuiba viatu sasa hivi hauna kazi umeamua kushinda kariakoo unaingia JF kitukana Waislam unajifariji😅 wewe si unaitwa Vicent😀😀
Google translator hiyo 😂😂😂Nyumba za muda za simu ndo zikoje wadau au ndo mobile house🤔🤔
Wazungu wenzake wanafurahi huko kajibebesha zigo la misumari wamepita marais toka mwaka 1948 wameshindwa kupambana na Wapestina wamekufa wameiacha Palestina😅NETANYAHU
Kwisha habari yako.Mwizi tena Hahahahaa. Hiz hasira mnazitoaga wapi. Kwahiyo wewe kwa akili yako waarabu wote ni waislam akili za kubumba kweli hiz. Nielekeze namna ya kuweka video nikutumie video nilipo tena uarabuni. Nikusaidie. Nipo al ain kusin mwa Dubai. Na kwa taarifa yako mi nakusidia cjawah kuajiriwa tangu namaliza la saba 93 mpaka muda huu.
Wanawashwa tenaHamas ni sikio la kufa, naendelea kukumbusha Kila mchuma janga hula na wakwao