Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

Inauwa watoto tu na wanawake..

THE DEATH TOLL OF ISRAELI SOLDIERS IS 455, SINCE THE GAZA GROUND OFFENSIVE BEGAN IN OCTOBER 27, 2023

Hizi namba za kisiasa tu lakini wamezika wengi.
If this is true, death toll of hamas soldiers could be 455x10
 
Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Mauaji ya Kimbari inatangaza vitendo vya Israeli huko Gaza kama mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita, na uhalifu dhidi ya ubinadamu, ikitaja watu 59,000 waliouawa, kuhama kwa watu wengi, njaa, na kulenga raia kimakusudi.

View: https://x.com/suppressednws/status/1962473987092386273?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hao vibaka wamefanyia wapi utafiti mpaka wakaanza kuongea UHARO huo? Au nani anawafadhili? Hapo hutakosa nchi za kiarabu zimeamua kupitisha agenda yao ya chuki!!
 
Ndiyo maana uwa nakuita Mr punguani😂
Yaani upo Uyole unapingana na UN.

Tanzania kuna vituko.
 
Ndiyo maana uwa nakuita Mr punguani😂
Yaani upo Uyole unapingana na UN.

Tanzania kuna vituko.
Eti UN hakuna kitu kama UN siku hizi UN ilikuwa zamani Sasa hivi UN imetekwa nyara na waarabu. Hata Mauaji ya Oct 07,2023 UN hii hii walikuwa wanabwabwaja tu kwa maneno lakini hakuna azimio lolote la kulaani unyama waliofanya magaidi hao!!
 
Nimewaambia mniletee picha mnaniletea picha za Oct 07,2023 na picha za watu waliokufa 2024 sijui mmewafufua lini na leo tena Mmewateka!! Hongereni sana kwa kuteka mizoga iliyokuwa 2024!,,
Nimekuletra video kabisa wacha picture, si ulibisha hawakuteka hata mwanajeshi mmoja. Hivi wewe yale mavi ya wayahudi yamekudhuru au, unamini kila anacho ongea yahudi.

View: https://youtu.be/-IPJMenvzWc?si=QkPjsxv-toRgfT10
 
Wanakumbi.

Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.

Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya.

Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na tukio hilo.

Netanyahu aliambiwa wazi kuwa unaingia Gaza unakwenda kupoteza wanajeshi wako na unaweza pia kupoteza mateka wenu kwa mabomu mnayrusha hovyo
================

Hamas has killed several Israeli soldiers in Gaza and reportedly captured 4 more.

However, Israel has claimed that only one soldier was killed and 11 others are in critical condition.

Israel has imposed strict media censorship on reports related to the incident.

View: https://x.com/currentreport1/status/1961590171687948729?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wazayuni hawawawezi Hamas ,roho ya paka.
 
Nimekuletra video kabisa wacha picture, si ulibisha hawakuteka hata mwanajeshi mmoja. Hivi wewe yale mavi ya wayahudi yamekudhuru au, unamini kila anacho ongea yahudi.

View: https://youtu.be/-IPJMenvzWc?si=QkPjsxv-toRgfT10

Lugha yenyewe ni ya Majini wengine hata hatujui wanasema nini!!
Nilikuambia toka jumatano wiki iliyopita uniletee hiyo picha hujaleta leo hii baada ya kushiba Maharage ya jana ndiyo unajifanya kuniletea maneno kwa lugha ya Majini!!! Acha ujinga wako!!!
 
Nasikia Wa Israel wanakufa kwa kukosa chakula!
 
Lugha yenyewe ni ya Majini wengine hata hatujui wanasema nini!!
Nilikuambia toka jumatano wiki iliyopita uniletee hiyo picha hujaleta leo hii baada ya kushiba Maharage ya jana ndiyo unajifanya kuniletea maneno kwa lugha ya Majini!!! Acha ujinga wako!!!
Hao walio tekwa we endelea kusafisha vyo Tela Aviv vipi.maharisho huko Yemen anawapelekea moto tokea majuzi mpaa wanaomba peace na Yemen hahaha

View: https://youtu.be/TKHiqIRdBD0?si=3NcyCsNC5l0b1UJp
 
Ving’ora vinavyolia si vya huko israel picha yenyewe ni ya AI endelea kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha Mbwa-koko kilichotolewa na Majeshi shupavu ya Israel kwa magaidi wa Iran!!!
Hahaha pokea salam za Yemen huko Israel, we kenge hio ni habari nilio weka si lazima waonyeshe Missiles zime land sababu Israel anazuia watu wasichukue video kwa hio kwenye habari wanaweza kuweka chochote kuonyesha Missiles zimeland ziwe Turkey, China au US lakini wakasema zimetua Israel.

Haya hi hizi vipi tena

View: https://youtube.com/shorts/izTZULREUK4?si=hhN0X8xDvVNDiUKt

We endelea kusafisha vyoo huko Tela Aviv nasikia karibuni utanza kupewa overtime.
 
Kusema kweli Wafuga midevu na majini mna matatizo sana sasa hiyo video unatuonyesha nini? Harafu ni ya zamani na umeongezea na AI jana wamepewa taarifa waondoke kwenye bandari ya Hodeidar maana IDF wanataka kuifanyia ukarabati kidogo sasa atakayebisha ajidanganye abaki kwenye eneo tajwa utakuja kuniambia!!!
 
Back
Top Bottom