Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.
Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la Gaza, mahali yalipo makao makuu ya shughuli zote za Hamas katika ukanda wa Gaza, kuanzia bungeni, hospitalini mpaka msikitini mayahudi yanajivinjari kama kwao, yakipiga mpaka selfie za dhihaka.
Mahandaki yanabomolewa, majumba mbali mbali yanapekuliwa na IDF kuna kama kuna hata panya wa kiHamas amebakia.
Wengi tulitegemea huenda majeshi ya Israeli hayatakanyaga Gaza kwa haraka hivi ama yakikanyaga tu yatakutana na upinzani mkali wa uso kwa uso kutoka kwa jeshi la Hamas, lakini hali imekuwa kinyume kabisa. Hamas kumbe kwenye vita ya mtaa kwa mtaa ni mrojo kabisa, bora hata mgambo wa kule Sudan wanaafadhali kubwa. Hamas kumbe wepesi hivi, bado nashindwa kuamini.
Hamas wako wapi tena?
Hamas wamekimbia kusikojulikana?
Hamas wameuawa karibu wote?
Hamas wamejificha kusikojulikana?
Ndio tuseme Makafir wanaelekea kushinda vita na kujinyakulia maeneo yote ya Gaza kirahisi namna hii.