This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Hahahhaaaaaa..... Akili ndogo km hizi zina shida Sana.Hivi we Huna habari kuna kilio leo kuliko cha tarehe 7th October we tega masikio, wenzako wamekufa huko kama panzi.
Jeshi lilio ingia Al shifaa hospital wameisha safishwa, kule Mukhaim Al Shati jeshi la Israel wamekosa mawasiliano yani kikosi kizima kimemalizwa.
Kuna jeshi la Hamasi lipo ndani ya Israel we ka unaimba tarabu hapa
Uislam Ni tatizo la dunia .