Hamas mbona hawaonekani tena Gaza? Wameuawa? Wamekimbia? Wamejificha?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu kwa hiyo kwa sasa umekubali IDF wapo ndani ya Gaza?
 
Haiwezi kuwa Rahisi hivyo

Hamasi wapo na watawamaliza hao IDF we subiri utaona
🤣🤣We jamaa Umenikumbusha vita ya Iraq na US mwaka 2003. Kulikuwa na Waziri mmoja wa Iraq alikuwa machachari sana kwa propaganda. Mojawapo ilikuwa kwamba tayari wameshaandaa makaburi ya kuwazika askari wote Marekani watakao thubutu kuingiza miguu yao Iraq. Na kwamba hakuna askari hata mmoja atakeingia Iraq ambaye angetoka akiwa hai.
 
Ni kweli hawaonekani ila tunashangaa bado wanazidi kurusha rockets Tel aviv ndani ya mipaka ya Israel na kulipua vifaru vya majeshi ya Israel. Hawa jamaa watakua siyo binadamu wa kawaida hawa.
Unataka kumaanisha nini😳?
 

Wakati nyie mnaendelea kujadiliana wao wanauwa wanajeshi na kuteketeza vifaru

Vita ya chini hawawezi, in short wameshindwa vita hao ndugu zenu
 
Wameipenda wenyewe, chaguo lao wenyewe, wacha waisome namba eee, IDF mbele kwa mbele. Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama wavaa pedo
 
Wameipenda wenyewe, chaguo lao wenyewe, wacha waisome namba eee, IDF mbele kwa mbele. Upanga wa wana wa Yakobo hautawaacha salama wavaa pedo
 
Sasa hiyo Habari ya kijiweni,toa Habari vzr tupate update za uhakika
 
Sasa hiyo Habari ya kijiweni,toa Habari vzr tupate update za uhakika

Update za gaza jf huwezi pata kitu coz wanajf tumeifanya ile vita kama mechi za simba na yanga watu wanatetea mahaba yao si myahudi so mpalestina wa tz wote wanajisifia tu.ukitaka update fuatilia international media
 
Update za gaza jf huwezi pata kitu coz wanajf tumeifanya ile vita kama mechi za simba na yanga watu wanatetea mahaba yao si myahudi so mpalestina wa tz wote wanajisifia tu.ukitaka update fuatilia international media
Sahihi...ushabiki ndio sana.. eti hapo juu kwenye comment mtu kaandika .."nina taarifa kuwa blaa blaa".. 😆 as if yeye ndio Netanyahu
 
Wapo chini ya ardhi na awataki jeshi la Israel litoe misaada ya kibinadamu kwenye hospital ya Al shifa maana wanajua watakutana nao uso kwa uso! Hawa jamaa bhana....wanawaambia watu waliojificha pale hospital wasiondoke na kama wakipata madhara yeyote familia zao zitalipwa fidia na Hamas
 
We ni mzima kweli? Umetumiwa email au? Au upo Gaza?
 
Hivi unazani Israel anatafuta hao mateka mithili ya mtu anayetafuta sindano au sarafu iliyo dondoka kwenye kichaka? Au unazani IDF hawajui mpaka leo walipo mateka? Hamas wanaojeruhiwa kwenye makabiliano na IDF wanapelekwa Israel kwa nn? Na unazani huko Israel wanaenda kutibiwa tu huku wakipewa pole ya tende,kahawa na sigara?Wenzio wanataka kukomboa mateka wao kishujaa ikishindikana plan ya mwisho kabsa kabsa ni kuisafisha Gaza na kuandika historian mpya. Hayo yanayoendelea yakubadilishana sijui wafungwa ni mark time na timing tu.
 
Marekan katoa jeshi Iraq. Una uhakika Chief.
 
Wengi wameuliwa

Wengine wametekwa

Na wengine wamevua magwanda wamevaa kiraia na kuikimbia Gaza kama raia na wengine wamejifanya wagonjwa hapo shia hospital et wapo vitanda vya wagonjwa😕😃😃😃😃

Wavaavipedo bila Chupi mnataabika Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…