Wewe Dementia acha utahira! Sasa Vatikan inahusikaje ktk mfano wako? Yaani mtu unakurupuka tu eti Vita inayopiganwa Ukrain ingekuwaje ingepiganwa na Kinjekitile?Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe.
Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe?
swali vita vingalikuwa vinapigwana Vatikan miaka ya nyuma vilivyopiganwa hali ingalikuwaje hivi sasa?
kwani sio nchi? haiwezi kuingia katika vita? kama nchi kuna siku itaingia tuWewe Dementia acha utahira! Sasa Vatikan inahusikaje ktk mfano wako? Yaani mtu unakurupuka tu eti Vita inayopiganwa Ukrain ingekuwaje ingepiganwa na Kinjekitile?
msikti umeingiaje hapo? akili zako za bata mavi? Kama marekani anataka vita vishe mbona anawapa silaha isreal? wewe unadagnga watu hapa?Sikulaumu ww bali syllabus za masjid, Ina maana ww unataka hii vita iendelee? Umewaona US tu hujawaona Egypt,Qatar? Ina maana huoni raia wanavyokufa na kuteseka pale Gaza?
sio kwa taifa. sema kwenye ukoo wakoVijana kama mleta hawana mchango wowote kwenye taifa lolote!
Watu wanaonewa huruma wasifutwe kwenye uso wa nchi wewe unaleta ushabiki futari?Una changamoto aiseee!Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe.
licha ya kupelea jeshi na silaha kwa isreal lakini mabo yanazidi kuwa magumu kwao
Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda, Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe?
swali vita vingalikuwa vinapigwana Vatikan kama miaka ya nyuma vilivyopiganwa hali ingalikuwaje hivi sasa?
hahaha. unamdanganya nani? Silaha anazowapa ISREAL kipindi hichi cha vita kwa ajili ya nini? msifanye watu hawana akiliWatu wanaonewa huruma wasifutwe kwenye uso wa nchi wewe unaleta ushabiki futari?Una changamoto aiseee!
kwani sio nchi?Vatican imeingiaje humo,acha uzuzu we mama
Kwa komenti yako hii,umejishindia kiwanja cha bure Gaza.Nenda ujenge nyumba na uishi huko.hahaha. unamdanganya nani? Silaha anazowapa ISREAL kipindi hichi cha vita kwa ajili ya nini? msifanye watu hawana akili
itakuwa wewe itakuwa mkiristo wa Mbagala bondeni hukoKwa komenti yako hii,umejishindia kiwanja cha bure Gaza.Nenda ujenge nyumba na uishi huko.
Mimi ni mbuddha wa Nachingwea.itakuwa wewe itakuwa mkiristo wa Mbagala bondeni huko