Hamas ni kiboko sana. Hii ingalitokea Vatican ingalikuwaje?

Hamas ni kiboko sana. Hii ingalitokea Vatican ingalikuwaje?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe.
licha ya kupelea jeshi na silaha kwa isreal lakini mabo yanazidi kuwa magumu kwao
Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda, Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe?
swali vita vingalikuwa vinapigwana Vatikan kama miaka ya nyuma vilivyopiganwa hali ingalikuwaje hivi sasa?
 
Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe.
Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe?
swali vita vingalikuwa vinapigwana Vatikan miaka ya nyuma vilivyopiganwa hali ingalikuwaje hivi sasa?
Wewe Dementia acha utahira! Sasa Vatikan inahusikaje ktk mfano wako? Yaani mtu unakurupuka tu eti Vita inayopiganwa Ukrain ingekuwaje ingepiganwa na Kinjekitile?
 
Wewe Dementia acha utahira! Sasa Vatikan inahusikaje ktk mfano wako? Yaani mtu unakurupuka tu eti Vita inayopiganwa Ukrain ingekuwaje ingepiganwa na Kinjekitile?
kwani sio nchi? haiwezi kuingia katika vita? kama nchi kuna siku itaingia tu
 
Sikulaumu ww bali syllabus za masjid, Ina maana ww unataka hii vita iendelee? Umewaona US tu hujawaona Egypt,Qatar? Ina maana huoni raia wanavyokufa na kuteseka pale Gaza?
msikti umeingiaje hapo? akili zako za bata mavi? Kama marekani anataka vita vishe mbona anawapa silaha isreal? wewe unadagnga watu hapa?
 
Vatican imeingiaje humo,acha uzuzu we mama
 
Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe.
licha ya kupelea jeshi na silaha kwa isreal lakini mabo yanazidi kuwa magumu kwao
Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda, Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe?
swali vita vingalikuwa vinapigwana Vatikan kama miaka ya nyuma vilivyopiganwa hali ingalikuwaje hivi sasa?
Watu wanaonewa huruma wasifutwe kwenye uso wa nchi wewe unaleta ushabiki futari?Una changamoto aiseee!
 
Watu wanaonewa huruma wasifutwe kwenye uso wa nchi wewe unaleta ushabiki futari?Una changamoto aiseee!
hahaha. unamdanganya nani? Silaha anazowapa ISREAL kipindi hichi cha vita kwa ajili ya nini? msifanye watu hawana akili
 
Kukukumbusha tu gaza wamekufa 40000+ KWA MUJIBU WA WIZARA YA AFYA INAYOENDESHWA NA HAMAS..huku israeli wamekufa chini ya watu 5000
 
Surely JF is a pale shadow of what it used to be and the gravest mistake the JF admin has made is to allow anyone with the smartphone the right to register as a member. It's very pitiable.
 
Back
Top Bottom