Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Hawa jamaa ni hatari nimewavulia kofia sio kazi ya kitoto wanayofanyaWatu wanataka nchi huru , hakuna kukata tamaa , akili zao sio kama Chadema gari moja la polisi mbio na maandamano wanayakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa ni hatari nimewavulia kofia sio kazi ya kitoto wanayofanyaWatu wanataka nchi huru , hakuna kukata tamaa , akili zao sio kama Chadema gari moja la polisi mbio na maandamano wanayakimbia
Wanashangilia ushindi, IDF walifikiri watawakomboa mateka wao kwa kuuwa watu wote mbona wamekuja mezaniKumbe nawao wanaogopa kufa...🤔
Hamas wameshindaKumbe kuna muda network ikirudi wanakuwa na akili pia...............gaidi bila akili cease fire linashangilia
Hamas wameshinda