Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Jan 20, 2025 #41 ielewemitaa said: Watu wanataka nchi huru , hakuna kukata tamaa , akili zao sio kama Chadema gari moja la polisi mbio na maandamano wanayakimbia Click to expand... Hawa jamaa ni hatari nimewavulia kofia sio kazi ya kitoto wanayofanya
ielewemitaa said: Watu wanataka nchi huru , hakuna kukata tamaa , akili zao sio kama Chadema gari moja la polisi mbio na maandamano wanayakimbia Click to expand... Hawa jamaa ni hatari nimewavulia kofia sio kazi ya kitoto wanayofanya
5 5520 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 849 Reaction score 1,482 Jan 20, 2025 #42 Ushimen said: Kumbe nawao wanaogopa kufa...🤔 Click to expand... Wanashangilia ushindi, IDF walifikiri watawakomboa mateka wao kwa kuuwa watu wote mbona wamekuja mezani
Ushimen said: Kumbe nawao wanaogopa kufa...🤔 Click to expand... Wanashangilia ushindi, IDF walifikiri watawakomboa mateka wao kwa kuuwa watu wote mbona wamekuja mezani
5 5520 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 849 Reaction score 1,482 Jan 20, 2025 #43 maddox said: Kumbe kuna muda network ikirudi wanakuwa na akili pia...............gaidi bila akili cease fire linashangilia Click to expand... Hamas wameshinda
maddox said: Kumbe kuna muda network ikirudi wanakuwa na akili pia...............gaidi bila akili cease fire linashangilia Click to expand... Hamas wameshinda
M maddox JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,086 Reaction score 4,669 Jan 20, 2025 #44 Labda njaa lakini si vinginevyooo 5520 said: Hamas wameshinda Click to expand...