HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Wewe punguani kweli ukishakuwa shoga na akili zinakuwa hamna kabla ya kushambulia huko nyuma ulikuwa huoni Palestina walivyokuwa wanauliwa na Mabasha zako huko West Bank, Gaza, na Masjd Aqsa?
Kitu pekee mwamedi aliwarithisha ni kupenda mavi. Mnapenda sana habari za kufukuana mitaro.
 
Matusi ya nini mjomba?! Ndugu zako katika imani waliyataka wenyewe kwa kuvamia na kuua innocent civilians.
Matusi yako wapi hapo? kumbe LGBTQ ni matusi? kama umejua kua ni matusi kawaambie hao unao waabudu waachane na hizo issue na waache kulazimisha na jamii zingine zikubaliane na hizo issue,

Zionist wamekua wakivamia maeneo ya Palestina kila siku na kuua innecent civillians,au unafikiri huo mgogoro umeanza baada ya wewe kua na smart phone? Zionist wameua watu wangapi wasio na hatia? mbona mnapenda kujitia upofu uliopitiliza? ni ndugu zangu katika imani ila wewe zionist ni wapinga imani yako ila unawashobokea kwa kukosa akili ya ufahamu na uelewa.
 
Israeli haitaji msaada wowote katika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya magaidi.
By the way huwezi kupigania uhuru Kwa kuchinja, kubaka wanawake pamoja kuwachoma moto watoto
Unaona sasa ulivyo mpumbavu? hii vita hujui kua msaada mkubwa unatoka USA? hujui kua Israel inapokea msaada wa fedha kila mwaka kutoka US? hujui kua waliomba USD 10 B ili wapigane na Hamas? hujui kua Iron dome ni msaada kutoka US? hivi una umri gani wewe?
 
Matusi yako wapi hapo? kumbe LGBTQ ni matusi? kama umejua kua ni matusi kawaambie hao unao waabudu waachane na hizo issue na waache kulazimisha na jamii zingine zikubaliane na hizo issue,

Zionist wamekua wakivamia maeneo ya Palestina kila siku na kuua innecent civillians,au unafikiri huo mgogoro umeanza baada ya wewe kua na smart phone? Zionist wameua watu wangapi wasio na hatia? mbona mnapenda kujitia upofu uliopitiliza? ni ndugu zangu katika imani ila wewe zionist ni wapinga imani yako ila unawashobokea kwa kukosa akili ya ufahamu na uelewa.
Tulia ugaidi uzidhibitiwe! Hamas sio kwamba wanaua tu Waisraeli bali pia wanasababisha maafa kwa innocent Palestinians.
Am sure sio wapalestina wote wanapenda vita na mauji
 
Huna hoja, nakupiga maswali unakwepa, nenda kwenye vijiwe vyako ukabishane kuhusu mpira, haya mambo yapo nje ya uwezo wako wa uelewa.
 
Huyo hua ana akili za kushikiwa,hicho alichokituma wala hakukiangalia coz hana bando.

Nchi nyingi wanasapoti palestine, ila huku sasa, kuna wengine mpaka flag ya taifa haram wanatembea nalo. Watu wa ajabu sana hawa sheikh, hawana huruma kabisa, imani haipo. Wanajua fiika mayahudi pale sio kwao ila chuki tuu dhidi ya waarabu na Uisilamu kwa ujumla.
 
Unaona sasa ulivyo mpumbavu? hii vita hujui kua msaada mkubwa unatoka USA? hujui kua Israel inapokea msaada wa fedha kila mwaka kutoka US? hujui kua waliomba USD 10 B ili wapigane na Hamas? hujui kua Iron dome ni msaada kutoka US? hivi una umri gani wewe?
Tulia dawa iwaingie. Waliyataka wenyewe kwa kuchokoza mzinga wa nyuki.
Netanyahu anakwambia kuna wakati wa vita na wakati wa amani..
 
Nchi nyingi wanasapoti palestine, ila huku sasa, kuna wengine mpaka flag ya taifa haram wanatembea nalo. Watu wa ajabu sana hawa sheikh, hawana huruma kabisa, imani haipo. Wanajua fiika mayahudi pale sio kwao ila chuki tuu dhidi ya waarabu na Uisilamu kwa ujumla.
Halafu cha ajabu hao Wayahudi ndio wanaoichukia dini yao,akili zimelala mpaka waje kuzinduka itakua too late.
 
Tulia dawa iwaingie. Waliyataka wenyewe kwa kuchokoza mzinga wa nyuki.
Netanyahu anakwambia kuna wakati wa vita na wakati wa amani..
Nimekwambia huna hoja zaidi ya mipasho, unajitutumua tu ili na wewe usisahaulike kua upo humu JF kabishane issue za mpira, hii issue ipo nje ya uwezo wako.
 
Punguza munkari. Soon people of palestine will get their freedom from Hamas terrorist regime.
 
Halafu cha ajabu hao Wayahudi ndio wanaoichukia dini yao,akili zimelala mpaka waje kuzinduka itakua too late.

Pamoja na kulipuliwa kanisa na hospital, na wafanyakazi wa UN kuuawa, lakini bado hawaelewi, chuki zewajaa vifuani mwao hata ukiwaambia vipi lakini hawaelewi.

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Wenye chuki ni nyie mlioshangilia hamas kufanya jinai October 7
 
Back
Top Bottom