LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
tunaitwa kondoo za Mungu. Unajua maana ya kondoo lakini, au unajua ni wale kondoo wanyama wafugwao?Ndio maana hua mnaitwa Kondoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaitwa kondoo za Mungu. Unajua maana ya kondoo lakini, au unajua ni wale kondoo wanyama wafugwao?Ndio maana hua mnaitwa Kondoo.
Kama una hasira sana nenda kawasaidie ndugu zako hamas maana kipigo wanachopigwa ni mbwa mwizi.Nilijua tu ushahidi huna,siku nyingine acha kuharisha havyo hapa.
Kama una hasira sana nenda kawasaidie ndugu zako hamas maana kipigo wanachopigwa ni mbwa mwizi.
View: https://www.instagram.com/reel/CzUBrKlqS5w/?igshid=Nzh5NG5yMXJ1aWww
Kitu pekee mwamedi aliwarithisha ni kupenda mavi. Mnapenda sana habari za kufukuana mitaro.Wewe punguani kweli ukishakuwa shoga na akili zinakuwa hamna kabla ya kushambulia huko nyuma ulikuwa huoni Palestina walivyokuwa wanauliwa na Mabasha zako huko West Bank, Gaza, na Masjd Aqsa?
Matusi ya nini mjomba?! Ndugu zako katika imani waliyataka wenyewe kwa kuvamia na kuua innocent civilians.Kawasaidie LGBTQ wenzako huko.
Unazijua sifa za Kondoo lakini?tunaitwa kondoo za Mungu. Unajua maana ya kondoo lakini, au unajua ni wale kondoo wanyama wafugwao?
Matusi yako wapi hapo? kumbe LGBTQ ni matusi? kama umejua kua ni matusi kawaambie hao unao waabudu waachane na hizo issue na waache kulazimisha na jamii zingine zikubaliane na hizo issue,Matusi ya nini mjomba?! Ndugu zako katika imani waliyataka wenyewe kwa kuvamia na kuua innocent civilians.
Unaona sasa ulivyo mpumbavu? hii vita hujui kua msaada mkubwa unatoka USA? hujui kua Israel inapokea msaada wa fedha kila mwaka kutoka US? hujui kua waliomba USD 10 B ili wapigane na Hamas? hujui kua Iron dome ni msaada kutoka US? hivi una umri gani wewe?Israeli haitaji msaada wowote katika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya magaidi.
By the way huwezi kupigania uhuru Kwa kuchinja, kubaka wanawake pamoja kuwachoma moto watoto
Tulia ugaidi uzidhibitiwe! Hamas sio kwamba wanaua tu Waisraeli bali pia wanasababisha maafa kwa innocent Palestinians.Matusi yako wapi hapo? kumbe LGBTQ ni matusi? kama umejua kua ni matusi kawaambie hao unao waabudu waachane na hizo issue na waache kulazimisha na jamii zingine zikubaliane na hizo issue,
Zionist wamekua wakivamia maeneo ya Palestina kila siku na kuua innecent civillians,au unafikiri huo mgogoro umeanza baada ya wewe kua na smart phone? Zionist wameua watu wangapi wasio na hatia? mbona mnapenda kujitia upofu uliopitiliza? ni ndugu zangu katika imani ila wewe zionist ni wapinga imani yako ila unawashobokea kwa kukosa akili ya ufahamu na uelewa.
Huna hoja, nakupiga maswali unakwepa, nenda kwenye vijiwe vyako ukabishane kuhusu mpira, haya mambo yapo nje ya uwezo wako wa uelewa.Tulia ugaidi uzidhibitiwe! Hamas sio kwamba wanaua tu Waisraeli bali pia wanasababisha maafa kwa innocent Palestinians.
Am sure sio wapalestina wote wanapenda vita na mauji
Huyo hua ana akili za kushikiwa,hicho alichokituma wala hakukiangalia coz hana bando.
Tulia dawa iwaingie. Waliyataka wenyewe kwa kuchokoza mzinga wa nyuki.Unaona sasa ulivyo mpumbavu? hii vita hujui kua msaada mkubwa unatoka USA? hujui kua Israel inapokea msaada wa fedha kila mwaka kutoka US? hujui kua waliomba USD 10 B ili wapigane na Hamas? hujui kua Iron dome ni msaada kutoka US? hivi una umri gani wewe?
Halafu cha ajabu hao Wayahudi ndio wanaoichukia dini yao,akili zimelala mpaka waje kuzinduka itakua too late.Nchi nyingi wanasapoti palestine, ila huku sasa, kuna wengine mpaka flag ya taifa haram wanatembea nalo. Watu wa ajabu sana hawa sheikh, hawana huruma kabisa, imani haipo. Wanajua fiika mayahudi pale sio kwao ila chuki tuu dhidi ya waarabu na Uisilamu kwa ujumla.
Hoja ipi?! Kwamba Hamas hawasabishi maafa kwa innocent civilians in Gaza?Huna hoja,nakupiga maswali unakwepa,nenda kwenye vijiwe vyako ukabishane kuhusu mpira,haya mambo yapo nje ya uwezo wako wa uelewa.
Nimekwambia huna hoja zaidi ya mipasho, unajitutumua tu ili na wewe usisahaulike kua upo humu JF kabishane issue za mpira, hii issue ipo nje ya uwezo wako.Tulia dawa iwaingie. Waliyataka wenyewe kwa kuchokoza mzinga wa nyuki.
Netanyahu anakwambia kuna wakati wa vita na wakati wa amani..
Sawa ila ukweli lazima usemwe hata kama unaumaNimekwambia huna hoja zaidi ya mipasho,unajitutumua tu ili na wewe usisahaulike kua upo humu JF kabishane issue za mpira,hii issue ipo nje ya uwezo wako.
Halafu cha ajabu hao Wayahudi ndio wanaoichukia dini yao,akili zimelala mpaka waje kuzinduka itakua too late.
Ukweli gani umeutoa! Zaidi kutuwekea clip za kumtafuta mwenye gari!Sawa ila ukweli lazima usemwe hata kama unauma
Wenye chuki ni nyie mlioshangilia hamas kufanya jinai October 7Pamoja na kulipuliwa kanisa na hospital, na wafanyakazi wa UN kuuawa, lakini bado hawaelewi, chuki zewajaa vifuani mwao hata ukiwaambia vipi lakini hawaelewi.
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.