Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmmh🙄🙄🙄🙄🙄Mazayuni yanakufa kwa maelfu.Makomandoo wa Hizbollah wamo ndani ya Israel wanachakaza balaa.Iarael vita hawezi kabisa.Hadi sasa hajaua Hamas hata mmoja anakamata wananchi na kuua watoto tuu.Wiki mbili zijazo Hamas watayamaliza mazayuni kabisa
Hamas watakuwa wamemaliza vifaru vya IDF huko gaza tusubiri batch ya pili kutoka marekani
Wanajifariji kama hivi angalia vifaru vya magaidi 😂hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] magaidi kwa kujifariji hawajambo
Wewe endelea na ushabiki mandazi Iran kaufyata vipi wakati Iran ni Master vijana wake wanafanya kazi Yemen, Lebanon, Iraq.mtaandamana sana lakini kichapo Kiko palepale,we huoni Iran ameufyata pamoja na mikwara yote Ile anajua myahudi ni moto mwingine shehe[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]
Nimembuka aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Saddam mzee Muhammad Saeed Al-Sahhaf kwa propaganda za uongo hadi waandishi waliokuwa wakimhoji walibanwa na kwikwi za kucheka! Mwisho wa siku aliwaponza wanajeshi wa Saddam wakafa kwa wingi wakiamini wanashinda
🇵🇸🇮🇱🚨‼️ BREAKING: Al Qassam walivamia hema la IDF likiwa na askari 10!Israeli kwa sasa anapanga amchague nani awe kiongozi wa Gaza, Hamas wameshapoteana.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
we gaidi kadanganye wavaa vipedo wenzako naona kichapo Cha myahudi kimekuwehusha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kutoka kwa Patriarchate ya Kilatini ya Yerusalemu: "Karibu saa sita mchana leo, Desemba 2023, 16, mshambuliaji wa IDF aliwaua wanawake wawili wa Kikristo ndani ya Parokia ya Familia Takatifu huko Gaza, ambapo familia nyingi za Kikristo zimekimbilia tangu kuanza kwa vita"Yani mji umebaki magofu kabisa,kweli vita havifai kabisa