HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Mazayuni yanakufa kwa maelfu.Makomandoo wa Hizbollah wamo ndani ya Israel wanachakaza balaa.Iarael vita hawezi kabisa.Hadi sasa hajaua Hamas hata mmoja anakamata wananchi na kuua watoto tuu.Wiki mbili zijazo Hamas watayamaliza mazayuni kabisa
Mmmmmmmh🙄🙄🙄🙄🙄
 
Hamas watakuwa wamemaliza vifaru vya IDF huko gaza tusubiri batch ya pili kutoka marekani
 
mtaandamana sana lakini kichapo Kiko palepale,we huoni Iran ameufyata pamoja na mikwara yote Ile anajua myahudi ni moto mwingine shehe[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]
Wewe endelea na ushabiki mandazi Iran kaufyata vipi wakati Iran ni Master vijana wake wanafanya kazi Yemen, Lebanon, Iraq.
 
Nimembuka aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Saddam mzee Muhammad Saeed Al-Sahhaf kwa propaganda za uongo hadi waandishi waliokuwa wakimhoji walibanwa na kwikwi za kucheka! Mwisho wa siku aliwaponza wanajeshi wa Saddam wakafa kwa wingi wakiamini wanashinda
 

Attachments

  • Screenshot_20231216-142458_Google.jpg
    Screenshot_20231216-142458_Google.jpg
    155.5 KB · Views: 1
Israeli kwa sasa anapanga amchague nani awe kiongozi wa Gaza, Hamas wameshapoteana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
🇵🇸🇮🇱🚨‼️ BREAKING: Al Qassam walivamia hema la IDF likiwa na askari 10!

-> Video itatolewa kesho!

Ujumbe: "Wapiganaji wa Qassam waliweza kukabiliana na askari 10 wa IDF kutoka pointi sifuri ndani ya hema la kijeshi la adui katika eneo la Juhr al-Dik katikati mwa Ukanda wa Gaza.

Wapiganaji wa Qassam waliweza kukamata silaha ya M16 kutoka kwa mmoja wa askari, kisha wakarudi kwenye vituo vyao salama.
 
🛑Al-Qassam (Hamas)

Attacked a group of IOF soldiers with a Qassam hand grenade, resulting in casualties among them in the Beit Lahia, in the northern Gaza Strip.
 

Attachments

  • IMG_8223.jpeg
    IMG_8223.jpeg
    40.8 KB · Views: 1
Yani mji umebaki magofu kabisa,kweli vita havifai kabisa
Kutoka kwa Patriarchate ya Kilatini ya Yerusalemu: "Karibu saa sita mchana leo, Desemba 2023, 16, mshambuliaji wa IDF aliwaua wanawake wawili wa Kikristo ndani ya Parokia ya Familia Takatifu huko Gaza, ambapo familia nyingi za Kikristo zimekimbilia tangu kuanza kwa vita"
 
Back
Top Bottom