white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Na israel anajua kila mtu aishie ukanda wa gaza ni gaidi!! Hata awe mtoto mchanga lazima tu atakuja kuwa gaidi, na wao wanamuwahi!! Kwa hiyo hakuna suala la kuomba huruma.Hao Hamas si mliwatambia kuwa kila raia wa Israel ni mjeda? Basi ndio siri ya kichapo cha yeyote watakayemkuta njiani wanajua ni mwanajeshi huyo.
Mimi naamini makomando wa Israel tayar wapo Gaza tena sio peke Yao inawezekana hata wa US pia wamohizi operation ni ngumu lazima uwe makini la sivyo utapoteza wote.Nawaza tu, hivi hatuna makomando wetu wa kwenda gaza kuokoa raia wetu kama wako mateka mikononi mwa hamas kama ile operation entebe? Au hiyo kazi itafanywa na makomando wa kiisrael kuokoa mateka hao? Kama vipi israel ishirikishe makomando wetu kwenye opesheni ya kuokoa mateka hao.
Nawaza tu, hivi hatuna makomando wetu wa kwenda gaza kuokoa raia wetu kama wako mateka mikononi mwa hamas kama ile operation entebe? Au hiyo kazi itafanywa na makomando wa kiisrael kuokoa mateka hao? Kama vipi israel ishirikishe makomando wetu kwenye opesheni ya kuokoa mateka hao.
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.
Raia wote wa Israel ni askari au hujui wewe?
1948 walikuwa na ardhi yao kwann hawakufanya hivyo?Wanataka ardhi yao, na watambulike kama Nchi
chawa wa mama , usije toa tgo kwa mme wa first lady wetu [emoji23][emoji23][emoji23]Hamasi hawana uhusiano na rais wao Abasi. Yaani kile ni kikundi cha kigaidi kama alivyo Mbowe na kikundi chake