HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa hili tatizo kwa miaka 50 ijayo.
===============================

The radical Palestinian movement Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel, but has no intention of negotiating the fate of hostages while hostilities continue. It said the hostages included "dozens of people with dual citizenship".

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu, in an address to the nation, compared Hamas members with Islamic State (IS or ISIS, an organization banned in Russia) terrorists and vowed to defeat them "just like the enlightened world defeated ISIS."

TASS has gathered the main information about the conflict so far.

What conflicting sides say​

Hamas representatives are "open to discussing a ceasefire with Israel," the movement said in a statement quoted by Al Hadath TV. At the same time, Hamas said it would not "negotiate prisoners under fire."

In an address to the nation, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu compared Hamas to the Islamic State, insisting: "This enemy wanted war and this this is what they will get." Earlier, Israeli Foreign Ministry spokesman Lior Hayat said his country would not hold negotiations with Hamas and considered them impossible because of the declared state of war.
 
Sasa wameona hawana pa kuchomokea ndipo wanaanza kuomba msamaha.... Unaanzishaje vita usiyoiweza....

Lengo la Israel ni kuichukua ardhi yote ya Palestina, Hamas walijichanganya kuingia cha kike, ule ulikuwa ni mtego. Sasa wanachukua ardhi yote ya Gaza
 
Wacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya matekwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.

jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US hatarudisha mashambulizi.

Hazibullah akawatwanga wa Israel hakuchukua hata nusu saa, camp mbili za Israel zikashambuliwa sijui waisrael wangapi wamekufa Israel hasemi, labda wengi tu wamekufa.

Israel aka fyata mkia aka kaa kimya hakujibu mapigo ya Hezbullah, walldhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US 😂

Hezbullah hawaogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict
 
Wacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya mate kwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.

jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US, Hazibullah akawatwanga camp zao mbili sijui waisrael labda wengi tu wamekufa Israel aka yamagata kimya hakujibu aladhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US 😂

Hezbullah haogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict
Hivyo vikundi vya Hazibullah na Hamas havina safari ndefu...

Vinaendelea kuifanya Israel kuzidi kuchukua ardhi ya Palestina. Israel haijawahi kushindwa vita tangu warejee nyumbani kwao, waarabu wanakula kichapo tu... Misri nae alichezea kichapo tu
 
Wacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya matekwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.

jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US hatarudisha mashambulizi.

Hazibullah akawatwanga wa Israel hakuchukua hata nusu saa, camp mbili za Israel zikashambuliwa sijui waisrael wangapi wamekufa Israel hasemi, labda wengi tu wamekufa.

Israel aka fyata mkia aka kaa kimya hakujibu mapigo ya Hezbullah, walldhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US 😂

Hezbullah hawaogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict

Tatizo huko kwa madrassa hamfundishwi ilmu ya dunia "Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel"....
Isarel wanaendelea kusambaratisha

sddefault.jpg
 
Hivyo vikundi vya Hazibullah na Hamas havina safari ndefu...

Vinaendelea kuifanya Israel kuzidi kuchukua ardhi ya Palestina. Israel haijawahi kushindwa vita tangu warejee nyumbani kwao, waarabu wanakula kichapo tu... Misri nae alichezea kichapo tu
😂 poleni sana kichapo mlichokipata mpaa US na Europe Union wamechanganyikiwa.

Israel hana jipya vifaru vitaishia kwenye maonyesho tu havita nusa Gaza.

Israel watakacho fanya ni kuvunja majumba tu na kufunga maji na umeme wanadhani wakiwakatia hivyo vitu wale jamaa wa Gaza wataitia pressure Hamasi asimamishe vita 😂
 
Netanyau wachochee moto walitaka wenyewe
Unapiga mzinga wa nyuki mchana jua linawaka wakianza kung'ata unalia

Kaaa kwa kutulia
... wamemvizia simba kalala alfajiri ya kuamkia Sabato ya Bwana Mungu wa Majeshi wakaenda kumpapasa sharubu na kubeba vitoto vyake viwili vitatu! Simba kaamka pori lote hamkani si shwari! Watulie wanyooshwe wanaharamu!
 
Tatizo huko kwa madrassa hamfundishwi ilmu ya dunia "Hamas has announced its readiness to discuss a ceasefire with Israel"....
Isarel wanaendelea kusambaratisha

sddefault.jpg
😂 hivi we unapo sema tuko tayari kuongelea usalama bada kufanya tulicho taka kufanya ndio kaomba vita isimamishwe,

Hapo alikuwa anawajibu walio omba hi vita isimamishwe kuna nchi zimetumwa zingilie kuwasemesha Hamasi kama vile Qatar na Egypt

kuzeni akili zenu 😂
 
Inasikitisha wanapofikia hatua ya kusema eti wasipopewa taarifa ya shambulizi wanaua mateka sada hivi tangu lini upewe taarifa na adui yako???
Kichaa kweli wewe wanaongelea Israel anapiga civilian target inatakiwa kwa sheria atoe warning kama kuna watoto au wanawake watoke kwenye majumba unayo target ukidhani kuna jeshi la Hamasi 😂
 
... wamemvizia simba kalala alfajiri ya kuamkia Sabato ya Bwana Mungu wa Majeshi wakaenda kumpapasa sharubu na kubeba vitoto vyake viwili vitatu! Simba kaamka pori lote hamkani si shwari! Watulie wanyooshwe wanaharamu!
Hawa makobazi wapuuzi sana.Wameyatimba vibaya mno, hata kama ni kumpigania Allah sio kihuni kiasi hiko. Watandikwe ile iwe funzo kizazi baada ya kizazi. Mungu ibariki Israel.
 
Tabia ya Israel ya kubomoa Gaza halafu baadae wanaanza kuwajengea makazi ikome kabisa
😂 Israel atalipa tu kila alicho bomoa Hamasi hi vita hashindwi hata wajikusanye Europe Union na US kumsaidia Israel hakuna watakacho badilisha ukweli silaha lazima iwe na mwanajeshi anaye jua itumia sio mashoga.

Hamasi wameisha mueleza Israel jeshi Lake ni mapambo tu kama wanajiona wao wanaume wasoge Gaza 😂 Yani kunakudhauriwa zaidi ya kuambiwa Jeshi lako kama Panzi au Nyumba ya baibui 😂

Paa time nandika hapa kuna vikundi vya Hamasi viko kwenye ardhi mnayosema Israel wanazichapa yani Hamasi bado wanaingia na kupiga na kuteka wanajeshi wao hi kama si dharau ni nini tena 😂

7th October 2023

View: https://youtu.be/Cw6pz0DNk2o?si=EFfcV6QG2Pz6JKd1
 
😂 hivi we unapo sema tuko tayari kuongelea usalama bada kufanya tulicho taka kufanya ndio kaomba vita isimamishwe,

Hapo alikuwa anawajibu walio omba hi vita isimamishwe kuna nchi zimetumwa zingilie kuwasemesha Hamasi kama vile Qatar na Egypt

kuzeni akili zenu 😂

Hamkufaulu chochote kwa kuua wananchi, maana mumesababisha maafa na majnga kwa Wapalestina, misikiti inasambaratishwa pamoja na mateso mengine mengi, huku babkubwa la ugaidi Iran linatazama halina la kufanya, mataifa yote ya huo uzombi wa dini yenu yanatazama bila chochote cha kufanya.
Tatizo mumekosa ilmu ya dunia, sijui huwa mnawaza nini kuanzisha halafu mnaanza kutafuta amani, raundi hii mnapigika mpaka kunako, labda mudi afufuke aje kuwaokoa.
 
😂 kijana tafuta sehemu Hamasi anaomba vita visimamishwe zaidi ya kusema hawezi kuongelea mambo ya prisons of war wakati bado vita inaendelea cha pili alicho sema yuko tayari kuongelea peace bada ya kuwatia adabu Israel kumbuka kuongelea peace ni tofauti na kusema nataka vita isimamishwe 😂

Nyie Rudin shule mfahamishwe niko tayari kusurrender au kuongelea peace ujuwe tofauti yake.

Kuongelea peace ni watu wawili wakubaliane au wengine washiriki hapo mtu anahaki ya kusema sitaki peace kama masharti yangu hamyakubali nenda shule kasome.

View: https://youtu.be/5czJd5ocsso?si=d_6_onFEYtoo0mQs
 
Inasikitisha wanapofikia hatua ya kusema eti wasipopewa taarifa ya shambulizi wanaua mateka sada hivi tangu lini upewe taarifa na adui yako???
Hapana miaka yote Israel huwa anapotaka kushambulia jengo fulani huwa anatoa taarifa kabisa, hata kupitia sms, ili raia wapishe!! Kwani huwa anagundua kombola limetokea jengo gani. Ila kwa sasa czani kama atakuwa na muda huo!! Ila HAMAS wanawapa tabu sana wananchi wa kawaida wa Gaza!!
 
😂 wacheni uwongo Hamasi silaha zake haziko kwenye majumba zipo underground hio kupiga majumba ni dalili ya udhaifu ya Israel anafikiria nikiwau wananchi Hamasi atakubali kusimamisha vita.
 
Back
Top Bottom