uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Kama hamas wao wenyewe wanaishi kwa kutegemea misaada .je Israel wakisema hao hamas warudishe ghalama zote za hivyo vita wataweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 kijana tafuta sehemu Hamasi anaomba vita visimamishwe zaidi ya kusema hawezi kuongelea mambo ya prisons of war wakati bado vita inaendelea cha pili alicho sema yuko tayari kuongelea peace bada ya kuwatia adabu Israel kumbuka kuongelea peace ni tofauti na kusema nataka vita isimamishwe 😂
Nyie Rudin shule mfahamishwe niko tayari kusurrender au kuongelea peace ujuwe tofauti yake.
Kuongelea peace ni watu wawili wakubaliane au wengine washiriki hapo mtu anahaki ya kusema sitaki peace kama masharti yangu hamyakubali nenda shule kasome.
View: https://youtu.be/5czJd5ocsso?si=d_6_onFEYtoo0mQs
Hivi hiyo vita ya Hamas na Israel inapigwa wapi? make naona ni Israel ndio wanapiga Gaza kutafuta Hamas, na Gaza tayari imezingirwa kabisa sasa hao Hamas mnaowapamba hapa wako wapi?😂 poleni sana kichapo mlichokipata mpaa US na Europe Union wamechanganyikiwa.
Israel hana jipya vifaru vitaishia kwenye maonyesho tu havita nusa Gaza.
Israel watakacho fanya ni kuvunja majumba tu na kufunga maji na umeme wanadhani wakiwakatia hivyo vitu wale jamaa wa Gaza wataitia pressure Hamasi asimamishe vita 😂
Wewe mshia kaa utulie toa uwongo wako hapa, unakataa nini? Israel lazima inachukua Gaza na tayari kashaichukua kilichobaki ni kuingia wazee wa kusafisha kila kitu, Hamas watulie watetee Gaza yao basi tuone kama kweli ni wanaume.😂 hivi we unapo sema tuko tayari kuongelea usalama bada kufanya tulicho taka kufanya ndio kaomba vita isimamishwe,
Hapo alikuwa anawajibu walio omba hi vita isimamishwe kuna nchi zimetumwa zingilie kuwasemesha Hamasi kama vile Qatar na Egypt
kuzeni akili zenu 😂
Isarel 900Hao Hamas ni wapuuzi kweli kweli! Damu zimemwagika; mali zimeharibika; uchumi na maisha kwa ujumla vimesambaratika! Death to Israel! Majinga ya kiwango cha mwisho!
Unaleta hadith za Hezbollah wakati Gaza kunawaka moto,no food,no electricity and no gas.Wakiendelea week 2 tu mbele wanaanza kufa kwa njaaWacha uwongo hakuna sehemu Hamasi kaomba vita vishe walicho sema hawawezi kuongelea mambo ya matekwa wa Israel wakati kwa sasa wako vitani wacheni kutunga nyimbo za kuipaza Israel.
jana Israel kala kichapo kutoka kwa Hezbullah aliuwa wanajeshi wa tano wa Hezbullah akadhani Hezbullah atamuogopa US hatarudisha mashambulizi.
Hazibullah akawatwanga wa Israel hakuchukua hata nusu saa, camp mbili za Israel zikashambuliwa sijui waisrael wangapi wamekufa Israel hasemi, labda wengi tu wamekufa.
Israel aka fyata mkia aka kaa kimya hakujibu mapigo ya Hezbullah, walldhani Hezbullah wataogopa kitisho cha US [emoji23]
Hezbullah hawaogopi US na sikia sasa gazeti la Israel linasema nini kuhusu Hezbullah soma hapo chini
Hezbollah threatens US, as Russia sees ‘high risk’ of 3rd party entering conflict
😂 kijana tafuta sehemu Hamasi anaomba vita visimamishwe zaidi ya kusema hawezi kuongelea mambo ya prisons of war wakati bado vita inaendelea cha pili alicho sema yuko tayari kuongelea peace bada ya kuwatia adabu Israel kumbuka kuongelea peace ni tofauti na kusema nataka vita isimamishwe 😂
Nyie Rudin shule mfahamishwe niko tayari kusurrender au kuongelea peace ujuwe tofauti yake.
Kuongelea peace ni watu wawili wakubaliane au wengine washiriki hapo mtu anahaki ya kusema sitaki peace kama masharti yangu hamyakubali nenda shule kasome.
View: https://youtu.be/5czJd5ocsso?si=d_6_onFEYtoo0mQs
Week 2 nyingi San mkuu,week tu tutapata majibuUnaleta hadith za Hezbollah wakati Gaza kunawaka moto,no food,no electricity and no gas.Wakiendelea week 2 tu mbele wanaanza kufa kwa njaa
Ingia istagram kwa page 'eye on Palestina' uone wanachokipitia kwa sasa na uzuri ni wao wenyewe ndiyo wanapost.Tuendelee tu kupiga porojo hapa lakini huko Gaza kumegeuka kuwa Jehenamu kwa sasa.[emoji23] poleni sana kichapo mlichokipata mpaa US na Europe Union wamechanganyikiwa.
Israel hana jipya vifaru vitaishia kwenye maonyesho tu havita nusa Gaza.
Israel watakacho fanya ni kuvunja majumba tu na kufunga maji na umeme wanadhani wakiwakatia hivyo vitu wale jamaa wa Gaza wataitia pressure Hamasi asimamishe vita [emoji23]
Wamechanganyikiwa hao,tangu lini binadamu mwenye akili timamu akatoa tishio kama hilo eti watakuwa wanatelevize ili Ulimwengu mzima uone.HAMAS ndiyo adui mkubwa wa Palestina wanaanzisha choko choko kipigp kimewazidia wanaanza kuleta vitisho vya kipuuzi.Inasikitisha wanapofikia hatua ya kusema eti wasipopewa taarifa ya shambulizi wanaua mateka sada hivi tangu lini upewe taarifa na adui yako???
Duh mchawi bundle tu🙌🙌Ingia istagram kwa page 'eye on Palestina' uone wanachokipitia kwa sasa na uzuri ni wao wenyewe ndiyo wanapost.Tuendelee tu kupiga porojo hapa lakini huko Gaza kumegeuka kuwa Jehenamu kwa sasa.
Punguza porojo zako,unaongea utadhani tupo kwa kijiwe cha kahawa😂 wacheni uwongo Hamasi silaha zake haziko kwenye majumba zipo underground hio kupiga majumba ni dalili ya udhaifu ya Israel anafikiria nikiwau wananchi Hamasi atakubali kusimamisha vita.
Ingia istagram kwa page 'eye on Palestina' uone wanachokipitia kwa sasa na uzuri ni wao wenyewe ndiyo wanapost.Tuendelee tu kupiga porojo hapa lakini huko Gaza kumegeuka kuwa Jehenamu kwa sasa.
Mkuu nenda kwa hiyo page ndiyo utajua moto unavyowaka Gaza,wanaume wanalia kama watoto wadogo.Kuna taharuki kubwa mno,hospital zimejaa kama wapo Sokoni K.koo.Duh mchawi bundle tu🙌🙌
Aiseee ngoja nitafute bundle ya kutoshaMkuu nenda kwa hiyo page ndiyo utajua moto unavyowaka Gaza,wanaume wanalia kama watoto wadogo.Kuna taharuki kubwa mno,hospital zimejaa kama wapo Sokoni K.koo.
Hawa Pro HAMAS wanaleta porojo tu hapa.Nilielekezwa huo ukurasa nilichokikuta nilibaki nimeduwaa.Hata wao wataenda kwa hiyo page kimya kimya na hawatasema walichokishuhudia hukoDah nimeingia nikajikuta naanza kupata huruma, kwa kweli hivi kwanini Palestina wasiwe wanakemea maovu ya HAMAS ili kuepuka mateso kama ambayo nimeshuhudia kwenye huo ukurasa.
Halafu kwa sasa hakuna mwenye ubavu wa kuingilia au kuagiza Israel wasitishe, kwenye hili hata USA wamepiga kimya, majitu yaliyokubuhu ugaidi kama FaizaFoxy yanashabikia tu ila wakiingia waone kinachofanyika huko wanaweza kutia akili.
Bado hawajapigwaHiyo janja yao kasheshe wanapiga kwa kushtukiza, wakijibiwa wanawahi kuomba maridhiano. Huku wanajipanga upya kwa shambulio
Mbinu hii ngoja tuone kama itafanya kazi this time
Yaani lazima wafutwe woteHao Hamas ni wapuuzi kweli kweli! Damu zimemwagika; mali zimeharibika; uchumi na maisha kwa ujumla vimesambaratika! Death to Israel! Majinga ya kiwango cha mwisho!
Bado hamjasema[emoji23] poleni sana kichapo mlichokipata mpaa US na Europe Union wamechanganyikiwa.
Israel hana jipya vifaru vitaishia kwenye maonyesho tu havita nusa Gaza.
Israel watakacho fanya ni kuvunja majumba tu na kufunga maji na umeme wanadhani wakiwakatia hivyo vitu wale jamaa wa Gaza wataitia pressure Hamasi asimamishe vita [emoji23]