Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wafia dini mmekutana mnadanganyana weee allah akbar ..allah akbar
 
Tazama vizuri uone alivyorushwa, hao wengine kabisa wamekuja kushangaa kamanda wao yuko wapi, na wao wakachezea kichapo.

Ipo version ndefu ya hicho kichapo. Tukuwekee?
Naona mnaanza kucheza Kibinda Nkoi, mnabinua kakalio kama manyigu pori.

Hawa mashujaa wenu wakianza kuchapwa msije mkaenda kulalama, ooh.. Umoja wa mataifa, ooh.. haki za binadamu, mara ooh.. Hamas ni tawi la IDF.

Punguani waheed.
 
Naona mnaanza kucheza Kibinda Nkoi, mnabinua kakalio kama manyigu pori.

Hawa mashujaa wenu wakianza kuchapwa msije mkaenda kulalama, ooh.. Umoja wa mataifa, ooh.. haki za binadamu, mara ooh.. Hamas ni tawi la IDF.

Punguani waheed.
Hawa ndiyo vijana wa Kitanzania wanaojifunza kilimo israel?👇🏾

 
Jordan ni 90% Wapalestina hao, unafikiri Hamas wote wanapayya mafunzo wapi?

Wapalestina safari hii wameamuwa, au wafe wote au wapate nchi yao wajitawale wenyewe.


Tena hawataki makuu wao, wansema mipaka iliyokubaliwa mwaka 1967 inatosha kabisa.
Kama wameamua kufa mbona wanataka ceasefire dunia nzima.......
 
Tofauti ya wapalestina na wayahudi ninmoja wayahudi wanapenda Sana uhai wakakti wapalestina waislam kifo ni ibada hivyo Hilo tatizo litakua kubwa kwakua wanasema tukio la October 7 litarudiwa hata mara milioni mpaka wayahudi waele nini wanatakiwa kufanya..
 
Tatizonlakonunatakankub7shqnqnb8lw mpango.

Uislam wao unawafundisha kitu cha kwanza ni kuitafuta amani, inapokosekana basi hakuna budi mpigane. Ukifa unapigania ardhi yako unakuwa shaheed.
Basi inatakiwa watulie wote waishe wakawe mashahidi......
 
Naungana nao wapalestine
Kuna muda unafika haqi haiombwi inapiganiwa tuuu
Ndio wanachokifanya hamas
 
Saizi wanatafuta mlango wa kutokea huku wakitaka Kumtimua Netanyahu Kwa kuwaingiza Cha kike 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…