Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Askari wengine 10 kwa mpigo wameuliwa na Hamas tena baadhi yao ndani ya kaskazini ya Gaza ambako chakula na maji yamezuiwa kufika kwa muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, kwahiyo wanauawa ili wakapewe mabikra 72, sasa hao mabikra si watakuwa wameshakuwa wazee? wategemee kukutana na vibibi bikra 72 vinaungua moto huko na wao pia wataungua moto pamoja nao.Fikra zako ziko huko tu.Hasara kweli kweli.
Hata hufikirii mabikra kibao huko peponi.
Idadi ya 72 ni ndogo sana.Huko kwa wale waliokuwa watiifu duniani watapata bila idadidah, kwahiyo wanauawa ili wakapewe mabikra 72, sasa hao mabikra si watakuwa wameshakuwa wazee? wategemee kukutana na vibibi bikra 72 vinaungua moto huko na wao pia wataungua moto pamoja nao.
hiyo mbingu ya ngono siihitaji kabisa. aliyewaletea hii dini aliwaingiza chaka mbaya sana.Idadi ya 72 ni ndogo sana.Huko kwa wale waliokuwa watiifu duniani watapata bila idadi
Siku moja ya huko ni sawa na miaka 1000 ya duniani na hakuna mwisho tena.Sasa vipi wewe unazungumzia idadi ndog hiyo ya 72.Hawatoshi hao kuwapa waumini furaha ya milele.
huyo mungu mzini bakini naye. sisi wenzenu Mungu wetu Mungu wa Ibrahim Isak ana yakobo, anatoa uzima wa milele na furaha ya milele na tutakaa na Mungu milele tukimwabudu, sio kulala na wanawake. kweli leo hii mtu anakuja kukuambia ahera utaenda kulala na wanawake na wewe unamfuata? kweli?Akili zako sio nzuri.Hapa duniani unaishia kwa wahasherati na huko kwenye maisha ya milele hutaki mabikra.
Hamas wamepigaje hapo????Hamas kundi teule