Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

Fikra zako ziko huko tu.Hasara kweli kweli.
Hata hufikirii mabikra kibao huko peponi.
dah, kwahiyo wanauawa ili wakapewe mabikra 72, sasa hao mabikra si watakuwa wameshakuwa wazee? wategemee kukutana na vibibi bikra 72 vinaungua moto huko na wao pia wataungua moto pamoja nao.
 
dah, kwahiyo wanauawa ili wakapewe mabikra 72, sasa hao mabikra si watakuwa wameshakuwa wazee? wategemee kukutana na vibibi bikra 72 vinaungua moto huko na wao pia wataungua moto pamoja nao.
Idadi ya 72 ni ndogo sana.Huko kwa wale waliokuwa watiifu duniani watapata bila idadi
Siku moja ya huko ni sawa na miaka 1000 ya duniani na hakuna mwisho tena.Sasa vipi wewe unazungumzia idadi ndog hiyo ya 72.Hawatoshi hao kuwapa waumini furaha ya milele.
 
hiyo mbingu ya ngono siihitaji kabisa. aliyewaletea hii dini aliwaingiza chaka mbaya sana.
 
hiyo mbingu ya ngono siihitaji kabisa. aliyewaletea hii dini aliwaingiza chaka mbaya sana.
Akili zako sio nzuri.Hapa duniani unaishia kwa wahasherati na huko kwenye maisha ya milele hutaki mabikra.
 
Akili zako sio nzuri.Hapa duniani unaishia kwa wahasherati na huko kwenye maisha ya milele hutaki mabikra.
huyo mungu mzini bakini naye. sisi wenzenu Mungu wetu Mungu wa Ibrahim Isak ana yakobo, anatoa uzima wa milele na furaha ya milele na tutakaa na Mungu milele tukimwabudu, sio kulala na wanawake. kweli leo hii mtu anakuja kukuambia ahera utaenda kulala na wanawake na wewe unamfuata? kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…