Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.

Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.

Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na marekebisho ya pendekezo la "israeli", ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano.

Marekebisho hayo yalijumuisha uondoaji kutoka Ukanda wote wa Gaza, ikijumuisha kivuko cha Rafah na kivuko cha Philadelphia.
======================
🚨JUST IN: HAMAS SENT THE RESPONSE REGARDING CEASEFIRE PROPOSAL TO THE MEDIATORS WITH AMENDMENTS.

Haniyeh and Nakhaleh handed over the response to the "israeli" ceasefire proposal to the Prime Minister and Foreign Minister of Qatar.

The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

View: https://x.com/suppressednws/status/1800605042145120726?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Netanyahu katema bungo huko kakubali kwpeleka pendekezo la kuondoka Gaza na kuondoa majeshi yote, anamba mateka wake sasa kakubali masharti ya Hamas.
 
Hamas wameambulia nini zaidi ya vifo kwa maeflu na maelfu ya Waarabu wao.
Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
 
Kinachofuatia ni kuubomoa Msikiti uliojengwa kwenye Hekalu la King Solomon.
 
kipigo ndio lugha pekee wanayoijua Hamas, hakukuwa na vita bali mgogoro, Israel iseme iishambulie Gaza kama wanavyofanya Hamas kuua watu hovyo, Gaza inakuwa Historia !!

wanaotetea Hamas wana matatizo, hawa magaidi wanaishambulia Israel kwa kufyatua makombora wakiwa kwenye makazi ya watu, wanatumia watu kama ngao, Mzinga umewekwa mtaani ama kwenye shule unafyatua makombora 50 kuelekea Israel lakini Israel ikijilinda kwa kufyatua kombora moja ili kuuhaharibu mzinga umefyatua makombora na bado unaendelea basi lazima kuwepo na maafa ya watu wengine wa karibu na hio mizinga, hapa hamas wanafurahia wanawahi fasta kurekodi watu waliofariki, kucheza filamu za kinafki kujifanya wanasaidia kuokoa watu walionasa, n.k. watu hupumbazwa wanaoanza kupiga kelele free Palestine wakiona hizo video bila kufikiria kwamba hamas ndie chanzo na upumbavu wao ndio mtaji wa hamas.
 
Wanaukumbi.

🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.

Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.

Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na marekebisho ya pendekezo la "israeli", ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano.

Marekebisho hayo yalijumuisha uondoaji kutoka Ukanda wote wa Gaza, ikijumuisha kivuko cha Rafah na kivuko cha Philadelphia.
======================
🚨JUST IN: HAMAS SENT THE RESPONSE REGARDING CEASEFIRE PROPOSAL TO THE MEDIATORS WITH AMENDMENTS.

Haniyeh and Nakhaleh handed over the response to the "israeli" ceasefire proposal to the Prime Minister and Foreign Minister of Qatar.

The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

View: https://x.com/suppressednws/status/1800605042145120726?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Umeandika upuuzi wamekubali wapi sasa hapo kama wameongeza matakwa mapya... huwa huna akili wewe kila nyuzi zako uletazo...

Hamas wamekataa so Vita inaendelea na wamesema vifo vya raia ni kafara kwao hawajali kitu..

1718139619497.png
 
Hamas ameisadia dunia kujua hamna jeshi dhaifu kama la Israel miaka ya nyuma tulidanganywa sana na stori zao kumbe weupe tu, leo Yemen na Hezbollah wanataka vita kwa nguvu na Israel bila Hamas tungejua wapi udhaifu wa jeshi la Israel wanapigana na watoto na majengo.
Jeshi dhaifu huku marafiki zenu Iran, Turkey wanachungulia kwa mbali bila kutoa hata support ya jeshi kwenda kupigana na kuwafukuza wayahudi
 
Hoingera sana Hamas, licha ya vitisho vya mazayuni na mabwana zao, mashujaa wa Hamas wameamka kidedea.
Haaaaaaaaaa, poleni sana wapalestina, hamas imewagharimu, nchi yenu imeharibika
 
Wanaukumbi.

🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.

Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar.

Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na marekebisho ya pendekezo la "israeli", ikiwa ni pamoja na kusitisha mapigano.

Marekebisho hayo yalijumuisha uondoaji kutoka Ukanda wote wa Gaza, ikijumuisha kivuko cha Rafah na kivuko cha Philadelphia.
======================
🚨JUST IN: HAMAS SENT THE RESPONSE REGARDING CEASEFIRE PROPOSAL TO THE MEDIATORS WITH AMENDMENTS.

Haniyeh and Nakhaleh handed over the response to the "israeli" ceasefire proposal to the Prime Minister and Foreign Minister of Qatar.

The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.

View: https://x.com/suppressednws/status/1800605042145120726?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamas submits response, Israeli official: They rejected the Biden proposal​

Senior Hamas official says the group is committed to demand for a ceasefire and the withdrawal of Israeli forces from Gaza. Israeli official: Hamas rejected the outline proposed by Biden.​

Jeshi dhaifu huku marafiki zenu Iran, Turkey wanachungulia kwa mbali bila kutoa hata support ya jeshi kwenda kupigana na kuwafukuza wayahudi
Watoe support ya nini wakati wanaona kabisa Hamas peke yake anaweza kupambana na jeshi zima la Israel wakisaidiwa na Marekani.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1800482590169936168?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Na bado wanatoa kichapo kwa Israel leo mwezi wa 9 Gaza yenyewe inazidiwa ukubwa na Kigamboni wameshindwa kuidhibiti kuna mateka zaidi ya 150 wameshindwa kuwaokoa kazi yao
Kuuwa watoto na kubomoa majengo na makombora na drone wakitua chini wanakutana na Hamas.

View: https://x.com/suppressednws/status/1800452385942413654?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hamas submits response, Israeli official: They rejected the Biden proposal​

Senior Hamas official says the group is committed to demand for a ceasefire and the withdrawal of Israeli forces from Gaza. Israeli official: Hamas rejected the outline proposed by Biden.​

The response that was handed over included amendments to the "israeli" proposal, including a ceasefire.

The amendments included a withdrawal from the entire Gaza Strip, including the Rafah crossing and the Philadelphia crossing.
>>>>>>>>>>>>>>
Hivi kwa nini Waisrael weusi wana roho ngumu kuzidi Waisrael wa Tel Aviv.
 
Back
Top Bottom