Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #161
Kwani hamna wazee mapunguani mbona wajinga wengi tu wanazeeka kama wewe.Nlikuambia mantiki inategemeana na mhusika. It is very subjective. So shika hili dogo. Kweli yako si kweli ya wote. Mimi nimekula chumvi nyingi na nime ona mengi nikiwa mwana Tanu mpaka sasa CCM. mtu akiambiwa usifanye hivi, akakaidi akafanya atapigwa tu. Na mimi nasema wacha wapigwe.