Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Mwarabu atatolewa Israeli kama alivyotolewa Spain.
Nilikuliza swali ukandandia mnazi πŸ˜„

Warabu wamewazalisha Spain usiombe. Kama vile walivyo wazalisha wafrica, sa zamu ya mchina kuwazalisha.

We si ajabu shombe wa kiarabu naona unawachukia sana warabu.

Badaye usianze wachukia wachina pia.
 
Alichobakiza ni Misikiti ambayo imefanywa Museums huko Spain.
 
Hii ni deal ya Wamarekani ili kuficha aibu ya netanyau wanajidai ni deal ya netanyau.

Kabla ya deal, USA kwa mara ya jwanza wameomba wao ceasefire UN.

Baada ya meli yao kubwa ya kivita kutandikwa na Wayemeni. Hivi ipo jeddah kwa vibaraka wao inatengenezwa, ilichapwa wik au wiki mbili nyuma.

WakitazqmA Hezbollah inawapelekea moto, Wayemeni wanawapelekea moto, Wairan waliwapelekea moto, Ghaza wanapelekewa moto kukicha.

Walidhani kuuwa watoto na wanawake na kubomoa mahospitali kutawakatisha tamaa, kumbe ndiyo wanajipalilia mkaa.

Waendelee kubana waone cha moto cha wengine ambao wanajipanga. Marekani wanalijuwa hilo, wanajuwa kuna nchi zinajipanhga ziungane na Wapalestina, kuna Pakistan, kuna Afghanistan, wote hao damu ishawachemka.
 
Alichobakiza ni Misikiti ambayo imefanywa Museums huko Spain.
Sawa lini tunaenda kanisani kulipia maji anayo leta Padr we kaa benches za mwanzo ili ulipe pesa nyingi. Mimi tenda kusikiliza tu nyimbo zile za kwaya huwa nzuri sana haswa ile ya chini chini πŸ˜„
 
ZIMEANZA LINI KUJIPANGA? HUU UONGO WA MIEZI MINGI. SI MLISEMA IRAN? KIKO WAPI? MSIDHANI NA WENZENU NAO HAWANA AKILI

Mnamatatizo sana, Vita inapiganwa ukanda wa Gaza, halafu Hmas ndio watoe masharti?
Yani nakupigia sebuleni hadi chumbani kwako halafu wewe ndio ulete masharti ya cease fire, uongo ulio kithiri.
 
Mnamatatizo sana, Vita inapiganwa ukanda wa Gaza, halafu Hmas ndio watoe masharti?
Yani nakupigia sebuleni hadi chumbani kwako halafu wewe ndio ulete masharti ya cease fire, uongo ulio kithiri.
Wewe ndiyo una matatizo upo Mbarali kisha unapinga mambo yanafanyika Mashariki ya Kati kwa kutumia fikra zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…