Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

Kwani hamna wazee mapunguani mbona wajinga wengi tu wanazeeka kama wewe.
 
Hakuna mtu mzima anayewaza kwa akili zako.
Nina mashaka na uelewa wako.
Si kila japo la utakwa binafsi lina mantiki.
Nina mashaka na huko kula kwako chumvi nyingi.
Maslahi ya mmoja yanafananaje na maslahi ya wengi!?
Tufanye umeshinda mkuu.
 
Utakuwa na matatizo kichwani. Kwakula chumvi nyingi na haufahamu kuwa Israeli inaikalia kibabavu palestina
 
Hakuna mtu mzima anayewaza kwa akili zako.
Nina mashaka na uelewa wako.
Si kila japo la utakwa binafsi lina mantiki.
Nina mashaka na huko kula kwako chumvi nyingi.
Maslahi ya mmoja yanafananaje na maslahi ya wengi!?
Tufanye umeshinda mkuu.
Dogo mbishi na mgumu kuelewa. Umekariri tu some terms. Huzielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…