Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Wanakumbi.

Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video .

Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya.

Hamas wamemfanya anateteka hovyo.

View: https://x.com/sprinterfamily/status/1832801354986701036?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Netanyahu ana umri wa miaka 74 sasa hivi. Mwaka jana alifanyiwa upasuaji wa moyo na kuwekewa pacemaker (kama ile inayodaiwa kuwa alikuwa nayo Magufuli).

Kwa hiyo ni mzee huyo, na yuko katika umri wa kuumwa magonjwa ya uzeeni. Mikono kutetemeka ni mojawapo ya magonjwa ya uzeeni yanayohusiana na moyo au mfumo wa fahamu.

Kwa hiyo acha propaganda za kijinga za kusema Hamas ndo wanamtetemesha. Siku akifa kwa ugonjwa au kifo cha kawaida cha uzee basi utasema kafa kwa sababu ya Hamas.
 
Ana ripoti Dr wa Netanyahu kutoka MAKWENJE..
 
Back
Top Bottom